Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?

Anaimba vizuri kuhusu mengine hayo akisikia atajirekebisha
Kuoka sidhani nikujenga chuki na wasio okoka hilo kukaa karibu na bongo flava sioni mbaya pia waimbaji wengi wa gospel wako hawana ukaribu na umoja kiivyo na pia wengi watu wazima yaani washaoa na kuolewa yule kijana bado kwahiyo washindwa kuendana pia
Ninapenda akihojiwa hana papara nilimwona jikoni na Marion nilipenda anaonekana mstaarabu
 
Unajua ili uwe mcha mungu haiitaji mtu akae katika kamati ya uchunguzi, inabidi ukiwa mbali kabla ya kumfikia mtu aanze kutamka moyoni kwamba " Kama anayekuja ni mcha mungu vile" ili ukifika na kujitambulisha ahitimishe fikra yake. Mimi namuona kama hayupo katika kundi la ucha mungu, sababu sijui maana nimeuuliza moyo wangu umemkataa_( Nukuu ya biblia kuwa tutawatambua kwa matendo yao)_

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mdogo ni yule shehe aliyojaribu kusuluhisha mgogoro wa makonda na gwajima, yule alivyokuwa anaongea ongea tuu hata kama hufungamani na uislam, utamjua tuu ni mcha mungu upinge upangue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Agizo kuu ni kuhubiri injili watu waache dhambi na kumfuata Yesu.

Mtu akijaribu kuenenda sawa na Dunia anakuwa haeleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jamii inabadilika
Lazima nawe ubadilike kama sehemu ya jamii. Ilimradi mabadiliko hayakinzani na amri za Mungu hapo mtu hajapotoka.
Mavazi ni suala la wakati tu, zamani mabwanga yalikuwa habar ya town tofauti na hivi sasa.
 
Mi mwenyewe simuelewi , huyu anaimba bongo fleva ila anajificha kwenye kivuli cha dini. Halaf ni sharo balo tofauti na kina legend Ambwene mwasonge
Mungu haangalii mavazi,mwili,umbo au uzuri yy anaangalia moyo afu Mungu aonavyo ni tofauti na ss binadamu tuonavyo kumtumikia Mungu si lazima uvae suruali ya kitambaa na shati la thatini na tai usikariri badilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye anataka wasikilize hadi waislam,,,mi nazipenda mno akitaja Mungu anatosha
Kwani waislamu hawamtaji issa bin mariam? Wanachopinga waislamu kuhusu yesu ni kwamba yesu siyo mungu baasi ila kufa, kufufuka, miujiza na kwamba atarudi tena wanalijua na wanalihubiri Ila siyo kumuita mungu Bali nabii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka tu....
I reserve my comments coz namjua vizuri yeye na familia yake kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona siku izi wapo wengi sio huyu tuu
Kuna mmoja mwingine anavaaga kama anaimba bolingo ya kongo na makoti nusu[emoji53] [emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huyu mhuni nasikiliza nyimbo zake tu siangalii video zake,anakera.

Mavazi hayana shida-ni mazuri ya kisasa.

Tatizo ni namna gani anafanya,mwanaume huwezi kujishaua bwana tena muimbaji wa dini ndio kabisaa.yaani huyu anayoyafanya hata diamond wa kiuno hayafanyi.

Vaa vizuri,imba ukiwa serious na unamaanisha acha kulambalamba mamidomo na kurembua kama mtoto wa kike,pumbaaaaaaaav.
 
Tatizo humu wahenga wengi hivyo wanataka na dot com waige tabia zao za kihenga. Lazima jamii itambue kuwa miaka inavyokwenda na mambo mengi hubadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewahi kufatilia chapel za marekani??? Acha hizo basi wapiga vyombo wa Doen Moe?????


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona ni vzuri kufanya hivyo kwa kuwa anawateka waumini wa dini zote na wasio na dini.kutaja mungu inatosha tu,sio lazima amtaje yesu
 
Kwa mambo ya Mungu hakuna kuigiza ni injili kwenda mbele ,wawezaje kuhubiri injili pasipo kumtaja Yesu hata wanamziki wa dunia wanamtaja Mungu, lakini muimbaji gani anaimba nyimbo za Mungu anabinua midomo na kuweka vidole juu kama anaimba taarabu, mtawatambua kwa matendo yao ukiokoka unapaswa kuwa kielelezo na wewe unakuwa barua watu wote wanakusoma kwa matendo yako kama yanaendana na Yesu Kristo alivyoagiza. Wengi watakao mtetea ni wale wanaomfurahia kwa namna ya kidunia. Kama uliwahi msikia akijieleza kwamba yeye lengo lake ulikuwa aimbe bongo fleva wazazi wakamkataza sababu wao ni walokole. Hivyo anachoimba kachanganya kuwafurahisha ndugu kwa sehemu na kuwinda soko la mziki wa dunia. Acha watumishi wamwambie ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…