TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
OBJECTION
Zaidi ya unavyofikiria na wanawake wao kote hivyo hivyo wanalika kwa pesa ndogo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya unavyofikiria na wanawake wao kote hivyo hivyo wanalika kwa pesa ndogo tu
Sio vocha wana bills za madeni huko kwenye ma bar na et al, pia huku mtaani vizinga vya 50k na kuendelea nilichogundua mishahara yao ni ya kawaida sana ukijumilisha na posho hivyo wanakuwa na tamaa za ajabu huku mtaaniKuna mmoja Anapiga mizinga ya vocha balaa
Ni hadithi ndefu!Unaweza funguka alikutapeli nini na namna ulivyo shughulika nae.
Watu wote ambao huwa wanatamani kuingia huko sijui kama huwa wanaelewa u ndani wa wanachokitafuta!Wengi mnao tafuta connection za kuingia uko ndo mna taperiwa
Wakiboreshewa maslahi ndo wataacha kitongoza mke wako? Kwa hiyo wanamtongoza mke wako kwa sababu ya maslahi yao duni? Mke wako ni barmaid pia? Manake umesema wanapenda kuongea na kudisclose siri kwa mabamaids.Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
Mke wangu si bar maid ila hata nature yao inasidiki hawatulii na familia zao muda wote wananusa nusa kutafuta wake za watu ila alichokipata atanikumbuka hadi atakapo staafu, pia waambie ma boss wenu wawaongezee mishahara muache kukopa hovyo na kutapeli watu mitaaniWakiboreshewa maslahi ndo wataacha kitongoza mke wako? Kwa hiyo wanamtongoza mke wako kwa sababu ya maslahi yao duni? Mke wako ni barmaid pia? Manake umesema wanapenda kuongea na kudisclose siri kwa mabamaids.
Milioni tu?Mshahara wa ofisa unafika milioni kweli?
Wewe hunuki shida kaka?[emoji23][emoji23]Labda uongeze na zile posho posho nje ya hapo ni maskani tu wengi wananuka shida