Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Watoto wa Diwani ni wenye heshima,nidhamu na utii wa Hali ya juu zaidi
Sio sawa kbsa kuja kuwachafua huku .......nimesuzunika sana sio sawa kbsa

Tunajuaje mke wako kabla ujamuoa alikuwa mtu wake?
Tena hawa ambao wako chini ya diwani hawana weledi kabisa sidhani hata huwa wamefuzu mafunzo kabla ya kula viapo, ni vijana washenzi, wahuni, walevi, waropokaji, wagomvi, malaya na matapeli kuzidi hata polisi.
 
Huna uwelewa wowote kwa haya unayoyaandika zaidi ya moyo wako kujaa chuki baada ya Afisa mmoja kukugongea kidemu chako hizi zingine ni porojo tu, huna ulijuwalo kwa sababu hata wao hawajuwani kama hampo dawati moja au kitengo kimoja.

Taasisi zote za serikali unazozijuwa wewe wapo maafisa usalama na mishahara yao wanapokea kwenye taasisi hizo.

Wapo TRA, BOT ndio usiseme, wapo kwenye mifuko ya serikali wapo everywhere mpaka kina Cardinali Pengo na sheikh mkuu wa Dar ni sehemu ya system.

Usidhani JF ni kijiwe cha wavulana kuja kuropoka ujinga ujinga wako.
 
Una uwelewa wowote kwa haya unayoyaandika zaidi ya moyo wako kujaa chuki baada ya Afisa mmoja kukugongea kidemu chako hizi zingine ni porojo tu, huna ulijuwalo kwa sababu hata wao hawajuwano kama hampo dawati moja au kitengo kimoja.

Sawa afisa usalama wa Jf tumekuelewa naona umeenda mbali kabisa umewataja hadi maafisa vipenyo, hongera sana ila narudia tena mbadilike
 
Mke wangu si bar maid ila hata nature yao inasidiki hawatulii na familia zao muda wote wananusa nusa kutafuta wake za watu ila alichokipata atanikumbuka hadi atakapo staafu, pia waambie ma boss wenu wawaongezee mishahara muache kukopa hovyo na kutapeli watu mitaani
Ishu siyo mshahara. Ni lifestyle. Seema hujui salary zao hawa. Asikudanganye mtu.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Umpige mtu risasi kwa ajili ya kumtongoza mkeo!!!? Utapiga wangapi sasa? Hapo utakua umeua au umejeruhi kutokana na wivu wa kimapenzi na utakwenda jela

Kwanza kitendo cha mwanaume kupata ujasiri wa kuja hadi mezani kwenu kumtongoza wife wako baada ya kua alishamkonyeza ni kwamba amealikwa au kapewa ishara nzuri. Tafakari
Hapo pa kutoa bastola kutaka eti apige mtu kisa mke [emoji23] kwa sheria gani. Ama ndo alitaka tu kuchangamsha genge. Ungemtwanga mkuu halaf ya mbeleni ukutane nayo. Kama ni short tempered hivi kama akina siye unaimilikije hiyo kitu? Yaani ishu ya mke? Nilijua kulikua kuna any physical torture umefanyiwa unajilinda eti. Sasa una tofauti gani nao. Hilo bastola rudisha tu mkuu utaua wengi.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hapo pa kutoa bastola kutaka eti apige mtu kisa mke [emoji23] kwa sheria gani. Ama ndo alitaka tu kuchangamsha genge. Ungemtwanga mkuu halaf ya mbeleni ukutane nayo. Kama ni short tempered hivi kama akina siye unaimilikije hiyo kitu? Yaani ishu ya mke? Nilijua kulikua kuna any physical torture umefanyiwa unajilinda eti. Sasa una tofauti gani nao. Hilo bastola rudisha tu mkuu utaua wengi.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Soma vizuri hiyo scenario ilikuwa ni kumchapa makofi tu ishu ya bastola ilikuwa ni scenario nyingine na hata usitake kujua ilikuaje 😁😁
 
Una uwelewa wowote kwa haya unayoyaandika zaidi ya moyo wako kujaa chuki baada ya Afisa mmoja kukugongea kidemu chako hizi zingine ni porojo tu, huna ulijuwalo kwa sababu hata wao hawajuwano kama hampo dawati moja au kitengo kimoja.

Taasisi zote za serikali unazozijuwa wewe wapo maafisa usalama na mishahara yao wanapokea kwenye taasisi hizo.

Wapo TRA, BOT ndio usiseme, wapo kwenye mifuko ya serikali wapo everywhere mpaka kina Cardinali Pengo na sheikh mkuu wa Dar ni sehemu ya system.

Usidhani JF ni kijiwe cha wavulana kuja kuropoka ujinga ujinga wako.
Nimecheka hapo aliposema hata million moja haifiki[emoji23][emoji23][emoji23] halaf kutongozewa mke huo ndo urijali. Huwa hawa vijana wenyewe kabisa hata siku moja kutamka ni ngumu mno kwamba wako idara fulani. Hata siku moja hutawasikia. Huyu anajifurahisha tu na kuvimba bure. Amekutanana MATAGA huko anajimwambafai. Kwanza vijana wana nidham mnoo mno mno. Kaunda suti yeyore anavaa. Eti mke ndo utoe bastola? Yaan waliokupa wakasikia tu wanachukua kifaa chao jinsi ulivyo limbukeni...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Soma vizuri hiyo scenario ilikuwa ni kumchapa makofi tu ishu ya bastola ilikuwa ni scenario nyingine na hata usitake kujua ilikuaje 😁😁
Mkuu, sema na mkeo. Kama hatatongozwa na mtu system basi atatongozwa na mwanaume yoyote, na wala wewe wakati huo hautakuwepo
 
Soma vizuri hiyo scenario ilikuwa ni kumchapa makofi tu ishu ya bastola ilikuwa ni scenario nyingine na hata usitake kujua ilikuaje [emoji16][emoji16]
Huna lolote. Unajibrag tu. Umesema ulitaka utoe. Na hata ukute huna pia. Halaf mwanaume madeni. Kopa na wewe. Na akimtaka vyema mkeo anampata tu. Ngoja akufungie kazi[emoji23][emoji23] yaan mpk amefika mezan kwako? Aah huyo kidumeee. Jembeee. Kifuatacho amlee sasa. Una uchungu sana. Ukute hata hukufanya lolote. Na ukute ulikomeshwa. Ndo umeamua kuja toa uchungu wkao hapa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Huna lolote. Unajibrag tu. Umesema ulitaka utoe. Na hata ukute huna pia. Halaf mwanaume madeni. Kopa na wewe. Na akimtaka vyema mkeo anampata tu. Ngoja akufungie kazi[emoji23][emoji23] yaan mpk amefika mezan kwako? Aah huyo kidumeee. Jembeee. Kifuatacho amlee sasa. Una uchungu sana. Ukute hata hukufanya lolote. Na ukute ulikomeshwa. Ndo umeamua kuja toa uchungu wkao hapa.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sio wanawake wote wana tabia za ulimbukeni na tamaa za pesa kama wewe, hivyo usipende kuwasemea wanawake wengine jisemee wewe binafsi kuwa ukihongwa wekundu watatu unaachia orifice 😅😅
 
Nature ipo hivyo Sesten Zakazaka asipoliwa na Ex, ataliwa na shamba boy, jirani ama mtumishi mwenzake.
Kabisa kabisa mkuu. Basi punguza hasira ndugu yangu. Maisha yenyewe haya mafupi sana na kila siku linatokeza janga jingine la kupukutisha watu. Sasa hivi corona inatosha, hebu bastola tuziweke kando kwanza
 
Back
Top Bottom