Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Uliweka heshima, hongera. Kwanza hakuwa na adabu na alikuwa na kiburi. Hiyo ndiyo dawa, wala sikulaumu kwa kumzaba kofi. Ila ungem-shoot ungekuwa umeenda mbali mno.Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.