Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Mchengerwa and Co; they know. rebemmer L thnom goa tahw deneppah.
 
Kuna mmoja Anapiga mizinga ya vocha balaa
Sio vocha wana bills za madeni huko kwenye ma bar na et al, pia huku mtaani vizinga vya 50k na kuendelea nilichogundua mishahara yao ni ya kawaida sana ukijumilisha na posho hivyo wanakuwa na tamaa za ajabu huku mtaani
 
Wakiboreshewa maslahi ndo wataacha kitongoza mke wako? Kwa hiyo wanamtongoza mke wako kwa sababu ya maslahi yao duni? Mke wako ni barmaid pia? Manake umesema wanapenda kuongea na kudisclose siri kwa mabamaids.
 
Mishahara yao ni mikubwa hata bunge lenyeww huwa haliambiwi ni sh.ngapi.

Ni full kula keki ya wadanganyika.
 
Wakiboreshewa maslahi ndo wataacha kitongoza mke wako? Kwa hiyo wanamtongoza mke wako kwa sababu ya maslahi yao duni? Mke wako ni barmaid pia? Manake umesema wanapenda kuongea na kudisclose siri kwa mabamaids.
Mke wangu si bar maid ila hata nature yao inasidiki hawatulii na familia zao muda wote wananusa nusa kutafuta wake za watu ila alichokipata atanikumbuka hadi atakapo staafu, pia waambie ma boss wenu wawaongezee mishahara muache kukopa hovyo na kutapeli watu mitaani
 
Watu wote ambao huwa wanatamani kuingia huko sijui kama huwa wanaelewa u ndani wa wanachokitafuta!
Well explained, kwenye uhalisia wana maisha duni mno
 
naskia watumishi wa hiyo sehem nyeti huwa wanafanyiwa intensive vetting tangia utotoni sasa sijui ni nini umuhimu wa hiyo vetting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…