Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Uliweka heshima, hongera. Kwanza hakuwa na adabu na alikuwa na kiburi. Hiyo ndiyo dawa, wala sikulaumu kwa kumzaba kofi. Ila ungem-shoot ungekuwa umeenda mbali mno.Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
Mkuu inaonekana ulimkata kofii zito tani tatuMke wangu si bar maid ila hata nature yao inasidiki hawatulii na familia zao muda wote wananusa nusa kutafuta wake za watu ila alichokipata atanikumbuka hadi atakapo staafu, pia waambie ma boss wenu wawaongezee mishahara muache kukopa hovyo na kutapeli watu mitaani
Katika msafara wa mamba .......,.......................Kuna mmoja ilikuwa manusura nimpige risasi ya kichwa ni huruma tu iliniingia, ni washenzi sana hawa vijana wa diwani. Huwa najiuliza hii mishahara wanayoipata haiwatoshi ama ni tamaa zao wenyewe?
Vetting wanafanyiwa wakiwa UVCCM? Wengi wametokea UVCCM.naskia watumishi wa hiyo sehem nyeti huwa wanafanyiwa intensive vetting tangia utotoni sasa sijui ni nini umuhimu wa hiyo vetting
Ni miaka zaidi ya 4 imepita,nimeshamsameheNaiomba PM nitakuelekeza ni wapi uende utapata msaada wa haraka,
Umpige mtu risasi kwa ajili ya kumtongoza mkeo!!!? Utapiga wangapi sasa? Hapo utakua umeua au umejeruhi kutokana na wivu wa kimapenzi na utakwenda jelaHuyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
Ilikuwa zamani hiyo sio sasanaskia watumishi wa hiyo sehem nyeti huwa wanafanyiwa intensive vetting tangia utotoni sasa sijui ni nini umuhimu wa hiyo vetting
Unaweza kutana na uvccm ukadhani ni vijana wa diwani.Kuna mmoja ilikuwa manusura nimpige risasi ya kichwa ni huruma tu iliniingia, ni washenzi sana hawa vijana wa diwani. Huwa najiuliza hii mishahara wanayoipata haiwatoshi ama ni tamaa zao wenyewe?
HahahahahaPunguza porojo, wanaomiliki silaha hata siku moja hawana swaga hizi, kwanza fire army ni kwa ajili ya self defense.
Sijaona tofauti yako na hao unaowalalamikia, unatafuta sifa za kijinga tu.
Inasikitisha wapumbavu wengi waliomilikishwa silaha hazijawahi kuwasaidia dhidi ya majambazi zaidi ya kujiuwa wenyewe au kuwauwa wapenzi wao.
Stupidity.
Njoo PM tafadhali kuna vitu nataka nikuulize kwa msaada zaidi, na pole sana kwa kudhulumiwa na huyo ofisa asiye jua maadili yake ya kazi. Kuna kitu nilitaka nikushauriNi miaka zaidi ya 4 imepita,nimeshamsamehe
Halafu huyo mbwa atakuwemo humu lakini sijui id yake,niliwahi kuona app ya JF kwenye simu yake
TATIZO LAKO MOJA TU.Huyu alinikuta niko na mke wangu tumekaa mahali akaleta zile za kukonyeza nikamtuma mtu ampe onyo, nilivyoenda enda washroom nikakuta amekuja kwenye meza yangu kumtongoza mke wangu nilimzaba kofi moja zito sana akarise pale ilikuwa nimmalize siku ile sema tu watu waliingilia pale nikaamua kuondoka kwa amani.
Tupe jina. OvaNikikupa jina halitokusaidia kitu ila jua watumishi wengi wa ile idara nyeti wametawaliwa na tamaa na udhulumaji kwa wananchi wa kawaida, hivyo ni matapeli 100%
Kwa ufupi tu siwezi fanya kazi ya kinafiki na majungu kama hiyo wanayofanya wao, nimeleta huu uzi kwa lengo moja tu vijana waache tabia za kishamba maana enzi za Mzena hukuwahi kusikia watumishi wa idara hii wakijonesha hadharani vitambulisho vyao ama hata kuwa na tabia za kitapeli nidhamu ni kila kitu katika taasisi hiyo ila vijana wengi wamepofuka wamesahau miiko ya kazi yao.TATIZO LAKO MOJA TU.
Unafatilia maisha ya watu.. TUNAJUA WEWE NI MMOJA WAO, LAKINI TAFADHALI ACHA KUWAANDIKA ANDIKA HUMU.
Mara DSO, Mara yule ni RSO Kwanini au ndo JASIRI HAACHI ASILI YAKE Bw.80mg OD.