Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar

Kkoo kwenyewe watu walikua wakifanga mgomo kumbe humohumo ndani yao wafabyabiashara ni kitengo wanaharibu harakati[emoji23] hawa wanaongelea freshers walioanza kazi juzi ati. Na wenyewe wana maisha yao mazuri tu. Mpaka waganga wako kitengo, maaskofu kama hivyo. Ama anaona ni walala hoi kama yeye.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sawa mke wangu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwanamme yeyote anayetumia ID ya kike huwa ana shida mahali, sasa nimetambua una shida gani? Hujachelewa bado acha tabia za kike. Na ninaposema uache hizo tabia uziache kwelikweli maana kuna baadhi yenu mna tabia hizo mnachoreshwa tu saba huku mtaani.
 
Ndio mimi ni kapuku kwelikweli πŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji3][emoji3][emoji3] mwanamme yeyote anayetumia ID ya kike huwa ana shida mahali, sasa nimetambua una shida gani? Hujachelewa bado acha tabia za kike. Na ninaposema uache hizo tabia uziache kwelikweli maana kuna baadhi yenu mna tabia hizo.
Na ndo sijibrag kama wewe. Kama uliniwekea mkia hakuna noma wala. Ila jikubali mkuu umemegewa. Una inferiority comflex.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Watu wa hovyo wanamshambulia mleta mada, badala ya kutafuta solution, kimsingi mleta hoja ana hoja kwanini watu wanaojiita nyeti wana tabia kama alizoeleza? sasa anashambuliiiwa as if sijui kakosa nini , narudia tena hao mwatu ni shida mtaani njaa njaa hizi zinawaumbua sana
 
Na ndo sijibrag kama wewe. Kama uliniwekea mkia hakuna noma wala. Ila jikubali mkuu umemegewa. Una inferiority comflex.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kuchepuka kupo na kutokuwepo na hakika hata wewe unachoreshwa saba ila mme wako wala hana habari maana ni jadi yenu πŸ˜…
 
Kuna mmoja kasema wanalipwa zaidi ya milioni tatu nimecheka sana πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu, hakuna afisa anauejitambulishaga. Hakuna. Hao ni wajinga wajinga wa Mataga. Tunachomblast hapa ni andiko lake la ghadhabu na kujibrag alitaka mpaka kutoa bastola. Ina maana he is unfit kumiliki hiko chombo. Unatoa bastola kwa mambo ya kijinga hivi? Nilitegemea kuona labda aseme jamaa alimrushoa chupa maybe akataka hata kujilinda kumbe wapi. Jamaa alijitambulisha kwake kwamba ni afisa? Alikuja uson kwake akamtamkia mimi ni afisa? Alikua anamjua kabla? Sindo wamekutana na jamaa hiyo mitaa? Alimthreat?

Dunia siku hizi ya ovyo sana. Wengine wnaatokaga na wake za watu kabisa. What if jamaa alikua anajaribu na yeye zali lake? Na sisemi kwamba no sahihi mwanaume unaona mtu yuko na mtuwe bado unaenda hapo. Huo siyo uanaume. Lakini the kid had some balls pia[emoji28] so mambo ya kutishiana na bastola nadhan si sawa. Na kumshauri tu, kama kweli anaimiliki na anajiona ni short tempered hivi basi airudishe kabla haijamletea madhara makubwa mbeleni. Its an alert kwake. Yasije kuwa ya Alex bure mambo ya kijinva tu. Afisa ana limits. Na kila mtu anakopa. Kila mtu anapitia nyakati zake. Na kama ndo ishu kama hii anataka kuenda mbele aache atadharaulika. Mke ajiheshim na ajue mipaka yake. Thats all. Unaweza kuta jamaa anampambania mke kumbe mke anafanya maasi ambayo jama akayajua siku anaweza jiua na hiyohiyo bastola yake. Tumsaidie yeye kwanza kumshauri. Ugomvi sehem za starehe ni ujinga. Kila mtu anakopa aisee. Ni hayo tu mheshimiwa jaji. Leta PGO

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Miss Pablo unataka kumtolea mahari komredi Nyboma?!!🀣🀣
 
Watanifanya nini mbona ni viumbe wa kawaida sana na nipo nao hapa napiga nao supu na uniform zao, karibu sana ila nikupe pongezi tu kwa kuolewa na mmoja wao [emoji28]
See? Una ushamba bado..na haohao ndo wanamla mkeo. Pumbaf kbs. Usipokua makini nakuoa wewe[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…