Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Wewe ni jinsia gani?(samahani kwa swali)Jamaa mshamba sana. Nitajamuoa akicheza na mimi. Hiyo bastola nakuambia hanaaa... mwenye nayo hajibrag hivyoo. Na anaprove jinsi gani ni mshamba kama anaimiliki kweli basi ni jinsi gani watoaji wana makosa..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app