Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

Mmechelewa sana Hima Empira ni lazima.
 
SA wanaua wageni wanaouza pipi na sigala ninyi mnawapa vyeo harafu wengine wanaongea mnasema unoko...
Sigala - Sigara
Harafu- halafu
South Africa wana roho mbaya ya asili
Sisi wanaingia kila leo na tunagawana riziki
Na kuna wafanyakazi wanaishi kwa mgongo wa hao hao wakimbizi kwa kuchukua bakhshish kwao
Wana biashara zao wengine ila kila leo kuna watu wanapitia za kubrashi
Sisi Rushwa mbele ndio maana huoni fujo kwetu na ukarimu pia unachangia

Nyerere aliliona hilo ndio maana tunachanganyika bila tatizo
 
Mbona hata Watanzania wana roho mbaya au haya matukio ya Njombe sio ya roho mbaya watu wanakata mtu vipande vipande tena mtu mmoja wengine wanaua watoto huko unataka kuongea kama tupo smart wakati tuna matukio ya hovyo kama wao huko Mtwara pana vima waliua dogo ana madini yake na pesa yake wakampa kesi ya mwizi wa boda boda au haya matukio unaona ni sawa kwa sababu ni Watanzania..
 
Nyie mngekuwa na Akili mngeiacha CCM iwatawale kwa muda mrefu huku mkizidi kuwa Mazuzu na Amani yenu ya Kinafiki, Wivu wa Kishamba na Usununu / Roho Mbaya?
Mkuu hakuna nchi yenye watu wenye akili inaweza kubali kuendeshwa na watu wenye mtazamo wa PK,slim ashawashika makende hawawezi kukohoa,nadhani wahutu sasa wana vikao vya siri wanavizia PK aishiwe pumzi ,mambo yanayotokea Rwanda na Burundi ni kwa sababu kuna kabila mbili/tatu tu, kitu ambacho ni impossible kwa nchi yetu,
Madhira ya Congo pia yanachangiwa na miundombinu duni,hakuna barabara.
Pk mwenyewe haamini mtu mpaka anaweka mwanaye wa kike kuwa mshauri wake,
Kwa mindset ya mtutsi kamwe hawawezi kuachieve kitu sustainable ,watapata lakini watapoteza kikubwa zaidi ya walichopata.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 

Bora mtusi kuliko muarabu
 
Huko Congo Leo wametangaza kuweka ma RC na ma DC kwenye sehemu walizoteka nchi mpya ya Kitutsi inazaliwa
Mlio dharau waliosema Hima Empire inakuja haya hiyo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…