Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

Wana nchi yao ni Rwanda, af fanya yote usimkaribishe mtusi kwako au nchini, hao watu wana tabia ya kuua (host) mwenyeji wao nakutaka kutawala, ona uganda, Burundi, Rwanda mojarity 80% ni wa hutu ila watusi wanata ku dominant, DRC kuna makabila zaidi ya 200 hao watusi hata 1m hawafiki ila ndo wanataka kutawala, ukiona Mtutsi ni wakuua au kutimua mapema, udixoeane nao hao watu ubaguzi na wauuji wa kubwa hata ukae nae miaka 50 akiona mtusi mwenzio watakugeuka au kukuua.
Sasa ukiua....na wewe si mbaguzi pia
 
Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo.

Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TZ, Wakurya wako Kenya na Tz, Wajaruo wako Kenya, Tanzania, Uganda na South sudan, Wamakonde wako kote na makabila mengi duniani.

Kwa nini wenzetu hawa watutsi ambao kiasiri wamekuwepo huko mashariki mwa Congo, Rwanda na Burundi imekuwa ni tatizo?. Kwa nini wasitambuliwe kama makabila mengine ambayo yanapatokana nchi mbili.

Wajuvu mtujuze zaidi..
Kwasababu wanajiona wao Ni Bora kuliko watu wengine.. ni wabaguzi Kwa watu wenye ardhi Yao, lakini Kubwa kuliko wanatumiwa na serikali ya kichoko ya kagame kuiba madini ya ndugu zetu Congo
 
Congo walifikaje na lini? Na burundi pia walifikaje?
Kuna kitu sikielewi. Maana hata hapo Rwanda inasemekana walitokea huko juu Ethiopia
Ukitaka ufafanuzi......fikiria ni vipi wamasai au wajaluo wapo kote huko ulipokutaja.
Na jiulize kabla ya wakoloni kugawa mipaka kulikuaje
 
Kwasababu wanajiona wao Ni Bora kuliko watu wengine.. ni wabaguzi Kwa watu wenye ardhi Yao, lakini Kubwa kuliko wanatumiwa na serikali ya kichoko ya kagame kuiba madini ya ndugu zetu Congo
Hamjawahi kua wanyarwanda......wala hamjawahi kuishi rwanda...enzi za Habyrimana na Kagame
 
Kwahiyo wewe unaona raha binadamu wengine wakiua watusi???
Au hapa tanzania tuwabague labda wamasai eeeh???
Watusi usipo wawahi anakuua tu, mfano mzuri Rwanda 1994 Burundi miaka ya 90 yote Uganda 1986, Congo nk, hizo vita zote zinasababishwa na tutsi wenye lengo la kutawala wengine. Mtusi kuua isie Mtusi kwake sio shida.
 
Ukitaka ufafanuzi......fikiria ni vipi wamasai au wajaluo wapo kote huko ulipokutaja.
Na jiulize kabla ya wakoloni kugawa mipaka kulikuaje
Mbona wao wamepoa. Dunia nzima ziko hapo congo mashariki tu, wakati hiyo kesi karibu kila sehemu kuna watu wa namna hiyo waliogawanywa.

Au unakubaliana na ukweli kwamba wao wamejiingiza kule na wanagoma kurudi kwao. Kuna kitu nataka kukielewa.
 
Watusi usipo wawahi anakuua tu, mfano mzuri Rwanda 1994 Burundi miaka ya 90 yote Uganda 1986, Congo nk, hizo vita zote zinasababishwa na tutsi wenye lengo la kutawala wengine. Mtusi kuua isie Mtusi kwake sio shida.
Ebu tuzungumze vita vya 1986....watusi wakimbizi si walikua upande wa museveni.....kuna shida hapo???
Na walikua asilimia ngapi ya wanajeshi wa NRA???
 
Wewe angalia hapa JF wameweza kurubuni uongozi wa Jf na kufungua forum ya kinyarwanda wanatumia lugha ya kinyarwanda ambao wengi hatuijui hao watu ni wabaguzi hatari wanajionaga special sana kwa wengine.
Amahoro kwizera 🤣🤣😂
 
Ebu tuzungumze vita vya 1986....watusi wakimbizi si walikua upande wa museveni.....kuna shida hapo???
Na walikua asilimia ngapi ya wanajeshi wa NRA???
M7 na wa Tusi wake kama Kagame Rwingema waliuua waganda zaidi ya 800,000 na kusingizie serikali ya Obote ili watu waichukie, eisitoshe wa kuua habyarumana mwaka 1994 kitu ambacho kilileta mauuji ya kimbali.
 
Shida ya wanyarwanda ni wabinafsi, ni watu wa kujitenga na jamii nyingine.

Uliza hata Watanzania waliooa wanyarwanda, watoto wao wengi wanajitambulisha zaidi kwenye unyarwanda kuliko Utanzania.

Hata kuoana wanataka waoane wao kwa wao. Ni jamii ambayo ni ngumu kujichanganya na jamii nyingine kwa amani.

Wanyarwanda ni watu walalamishi lalamishi, wako kama waumini wa dini flani.
Yeah wahutu na watusi ni watu wabnafsi sana......afu wote wanaongea kinyarwanda ila wanabaguana
 
Hii imekaaje?
Screenshot_20240411-132703_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom