Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

Mbona wao wamepoa. Dunia nzima ziko hapo congo mashariki tu, wakati hiyo kesi karibu kila sehemu kuna watu wa namna hiyo waliogawanywa.

Au unakubaliana na ukweli kwamba wao wamejiingiza kule na wanagoma kurudi kwao. Kuna kitu nataka kukielewa.
Fuatilia historia ya himaya za kinyarwanda eneo hilo miaka 1500 nyuma
 
Una chanzo chochote. Maana Nilimsikia Hayati Nyerere anaongea mbele ya wazungu kuwa kabla ya mipaka ya wabelgiji jamaa huko mashariki mwa Congo wapo kitambo.
Kuna kitu sielewi.
Usingeweza kuongea kinyume dhidi ya ndugu zake(watusi). Watusi tofaut na makabila uliyotaja wameingia miaka ya karibu hapo DR Congo
 
M7 na wa Tusi wake kama Kagame Rwingema waliuua waganda zaidi ya 800,000 na kusingizie serikali ya Obote ili watu waichukie, eisitoshe wa kuua habyarumana mwaka 1994 kitu ambacho kilileta mauuji ya kimbali.
Hujui historia ya Uganda baada ya obote kurudi madarakani......unaongea tu.
Na hujui historia ya wakimbizi wa kinyarwanda walikua Uganda miaka hiyo.
Na hujui chochote kuhusu serikali ya Habyrimana
 
Usingeweza kuongea kinyume dhidi ya ndugu zake(watusi). Watusi tofaut na makabila uliyotaja wameingia miaka ya karibu hapo DR Congo
Kama unachosemani kweli basi lazima vurugu zisiisshe eneo hilo ukizingatia jamaa wanakomaa kuwa ni kwao huko east congo.
 
Maxence Melo weka na jukwaa la Wakongo.
Hakuna haja, kama tunaongea kiswahili na kiingereza tunaelewana. Hizo hoja zao za kinyarwanda waziweke kwa kiwsahili au JF iweke autotranslation kama social media nyingine na sisi tuanze kutwanga mofimu zetu za kihadzabe.
 
Ni kweli wanyarwanda wa eneo hilo hawajawahi kukaa milima ya mulenge.
Lakini wamekuepo huko miaka 1500 nyuma.
Kama ni kweli kwa nininwenyeji wa hapo wasiwe watubwa kwanza kuwatetea. Serikali ya Congo haijui hayo au kuna vitu vinafanywa kusudi.
 
Hujui historia ya Uganda baada ya obote kurudi madarakani......unaongea tu.
Na hujui historia ya wakimbizi wa kinyarwanda walikua Uganda miaka hiyo.
Na hujui chochote kuhusu serikali ya Habyrimana
Kama niko wrong tupe hiyo historia sahihi kama museven hakua mkimbizi wa kitutsi pale Uganda na kasababisha uuaji wa watu zaidi ya 800k.
 
Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo.

Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TZ, Wakurya wako Kenya na Tz, Wajaruo wako Kenya, Tanzania, Uganda na South sudan, Wamakonde wako kote na makabila mengi duniani.

Kwanini wenzetu hawa watutsi ambao kiasiri wamekuwepo huko mashariki mwa Congo, Rwanda na Burundi imekuwa ni tatizo?. Kwa nini wasitambuliwe kama makabila mengine ambayo yanapatokana nchi mbili.


Wajuvu mtujuze zaidi..
Tatizo watutsi wana umbari wabaguzi na wabinafsi. Ila hayo sio shida. Shida iko wao kujidai ndio wajuaji peke yao na kutaka kutawala popote walipo bila kujali idadi yao ndogo. Burundi na rwanda wako asilimia 15 kwa kila nchi ila wanataka watawale nchi. Burundi waliondolewa kwenye utawala baada ya umwagaji mkubwa wa damu na pale walipomuua rais m'bantu (mhutu) aliyechaguliwa kidemokrasia. Rwanda ilipata uhuru chini ya uongozi wa waliyo wengi lakini watutsi chini ya kagame na kusaidiwa na uganda wakaondoa kijeshi uongozi wa wabantu walio wengi.
Tatizo kule congo japo ni wachache kwenye majimbo ya kivu kusini na kaskazini wanataka waongoze majimbo hayo na pia watengewe nafasi za vyeo serikali kuu kinshasa na kwenye majeshi yote nchini. Hao ndio watutsi kina kagame. Watu wana umbari wabinafsi na walafi wakubwa wa madaraka.
 
Back
Top Bottom