Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Tafuta wazazi wa mseveni......au wanyankole ili ujue historia yao kabla ya wakoloni kuja huko na kuweka mipakaKama niko wrong tupe hiyo historia sahihi kama museven hakua mkimbizi wa kitutsi pale Uganda na kasababisha uuaji wa watu zaidi ya 800k.