Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

Ni lishangaa sanaa na nikajua hao watu wetu wa JF hawana misimamo dhabiti, basi wafungua na forum za kisukuma kikuyu kiganda kwasbb hao watu wanao ongea hiyo lugha ni wengi kuliko wanao ongea kinyarwanda

Inasikitisha sana
 
Sasa ukiua....na wewe si mbaguzi pia
 
Kwasababu wanajiona wao Ni Bora kuliko watu wengine.. ni wabaguzi Kwa watu wenye ardhi Yao, lakini Kubwa kuliko wanatumiwa na serikali ya kichoko ya kagame kuiba madini ya ndugu zetu Congo
 
Congo walifikaje na lini? Na burundi pia walifikaje?
Kuna kitu sikielewi. Maana hata hapo Rwanda inasemekana walitokea huko juu Ethiopia
Ukitaka ufafanuzi......fikiria ni vipi wamasai au wajaluo wapo kote huko ulipokutaja.
Na jiulize kabla ya wakoloni kugawa mipaka kulikuaje
 
Kwasababu wanajiona wao Ni Bora kuliko watu wengine.. ni wabaguzi Kwa watu wenye ardhi Yao, lakini Kubwa kuliko wanatumiwa na serikali ya kichoko ya kagame kuiba madini ya ndugu zetu Congo
Hamjawahi kua wanyarwanda......wala hamjawahi kuishi rwanda...enzi za Habyrimana na Kagame
 
Kwahiyo wewe unaona raha binadamu wengine wakiua watusi???
Au hapa tanzania tuwabague labda wamasai eeeh???
Watusi usipo wawahi anakuua tu, mfano mzuri Rwanda 1994 Burundi miaka ya 90 yote Uganda 1986, Congo nk, hizo vita zote zinasababishwa na tutsi wenye lengo la kutawala wengine. Mtusi kuua isie Mtusi kwake sio shida.
 
Ukitaka ufafanuzi......fikiria ni vipi wamasai au wajaluo wapo kote huko ulipokutaja.
Na jiulize kabla ya wakoloni kugawa mipaka kulikuaje
Mbona wao wamepoa. Dunia nzima ziko hapo congo mashariki tu, wakati hiyo kesi karibu kila sehemu kuna watu wa namna hiyo waliogawanywa.

Au unakubaliana na ukweli kwamba wao wamejiingiza kule na wanagoma kurudi kwao. Kuna kitu nataka kukielewa.
 
Watusi usipo wawahi anakuua tu, mfano mzuri Rwanda 1994 Burundi miaka ya 90 yote Uganda 1986, Congo nk, hizo vita zote zinasababishwa na tutsi wenye lengo la kutawala wengine. Mtusi kuua isie Mtusi kwake sio shida.
Ebu tuzungumze vita vya 1986....watusi wakimbizi si walikua upande wa museveni.....kuna shida hapo???
Na walikua asilimia ngapi ya wanajeshi wa NRA???
 
Wewe angalia hapa JF wameweza kurubuni uongozi wa Jf na kufungua forum ya kinyarwanda wanatumia lugha ya kinyarwanda ambao wengi hatuijui hao watu ni wabaguzi hatari wanajionaga special sana kwa wengine.
Amahoro kwizera 🤣🤣😂
 
Ebu tuzungumze vita vya 1986....watusi wakimbizi si walikua upande wa museveni.....kuna shida hapo???
Na walikua asilimia ngapi ya wanajeshi wa NRA???
M7 na wa Tusi wake kama Kagame Rwingema waliuua waganda zaidi ya 800,000 na kusingizie serikali ya Obote ili watu waichukie, eisitoshe wa kuua habyarumana mwaka 1994 kitu ambacho kilileta mauuji ya kimbali.
 
Yeah wahutu na watusi ni watu wabnafsi sana......afu wote wanaongea kinyarwanda ila wanabaguana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…