Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Fuatilia historia ya himaya za kinyarwanda eneo hilo miaka 1500 nyumaMbona wao wamepoa. Dunia nzima ziko hapo congo mashariki tu, wakati hiyo kesi karibu kila sehemu kuna watu wa namna hiyo waliogawanywa.
Au unakubaliana na ukweli kwamba wao wamejiingiza kule na wanagoma kurudi kwao. Kuna kitu nataka kukielewa.
Usingeweza kuongea kinyume dhidi ya ndugu zake(watusi). Watusi tofaut na makabila uliyotaja wameingia miaka ya karibu hapo DR CongoUna chanzo chochote. Maana Nilimsikia Hayati Nyerere anaongea mbele ya wazungu kuwa kabla ya mipaka ya wabelgiji jamaa huko mashariki mwa Congo wapo kitambo.
Kuna kitu sielewi.
Maxence Melo weka na jukwaa la Wakongo.Wewe angalia hapa JF wameweza kurubuni uongozi wa Jf na kufungua forum ya kinyarwanda wanatumia lugha ya kinyarwanda ambao wengi hatuijui hao watu ni wabaguzi hatari wanajionaga special sana kwa wengine.
Hujui historia ya Uganda baada ya obote kurudi madarakani......unaongea tu.M7 na wa Tusi wake kama Kagame Rwingema waliuua waganda zaidi ya 800,000 na kusingizie serikali ya Obote ili watu waichukie, eisitoshe wa kuua habyarumana mwaka 1994 kitu ambacho kilileta mauuji ya kimbali.
Kama unachosemani kweli basi lazima vurugu zisiisshe eneo hilo ukizingatia jamaa wanakomaa kuwa ni kwao huko east congo.Usingeweza kuongea kinyume dhidi ya ndugu zake(watusi). Watusi tofaut na makabila uliyotaja wameingia miaka ya karibu hapo DR Congo
Bandeko bandeko lesapeeMaxence Melo weka na jukwaa la Wakongo.
Elezea kidogoHujui historia ya Uganda baada ya obote kurudi madarakani......unaongea tu.
Na hujui historia ya wakimbizi wa kinyarwanda walikua Uganda miaka hiyo.
Na hujui chochote kuhusu serikali ya Habyrimana
Sie tunataka jukwa la Kihaya (kinyakitara) waziba wanyabo wasubi wanyakore na waganda kyaka.Maxence Melo weka na jukwaa la Wakongo.
Hakuna haja, kama tunaongea kiswahili na kiingereza tunaelewana. Hizo hoja zao za kinyarwanda waziweke kwa kiwsahili au JF iweke autotranslation kama social media nyingine na sisi tuanze kutwanga mofimu zetu za kihadzabe.Maxence Melo weka na jukwaa la Wakongo.
Ni kweli wanyarwanda wa eneo hilo hawajawahi kukaa milima ya mulenge.Hii imekaaje?View attachment 2960616
Wakora mkodomi 🤣🤣🤣Sie tunataka jukwa la Kihaya (kinyakitara) waziba wanyabo wasubi wanyakore na waganda kyaka.
Kama ni kweli kwa nininwenyeji wa hapo wasiwe watubwa kwanza kuwatetea. Serikali ya Congo haijui hayo au kuna vitu vinafanywa kusudi.Ni kweli wanyarwanda wa eneo hilo hawajawahi kukaa milima ya mulenge.
Lakini wamekuepo huko miaka 1500 nyuma.
Kama niko wrong tupe hiyo historia sahihi kama museven hakua mkimbizi wa kitutsi pale Uganda na kasababisha uuaji wa watu zaidi ya 800k.Hujui historia ya Uganda baada ya obote kurudi madarakani......unaongea tu.
Na hujui historia ya wakimbizi wa kinyarwanda walikua Uganda miaka hiyo.
Na hujui chochote kuhusu serikali ya Habyrimana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]buana mimi sio mkabila.Wakora mkodomi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu wamekaa kishabiki.....ni kama wale intarehamwe wa 1994Elezea kidogo
Sawa mkodomi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]buana mimi sio mkabila.
Sawa mkaikuru.Sawa mkodomi
Congo imewekewa mipaka na wabelgijiKama ni kweli kwa nininwenyeji wa hapo wasiwe watubwa kwanza kuwatetea. Serikali ya Congo haijui hayo au kuna vitu vinafanywa kusudi.
Nyegera waituSawa mkaikuru.
Tatizo watutsi wana umbari wabaguzi na wabinafsi. Ila hayo sio shida. Shida iko wao kujidai ndio wajuaji peke yao na kutaka kutawala popote walipo bila kujali idadi yao ndogo. Burundi na rwanda wako asilimia 15 kwa kila nchi ila wanataka watawale nchi. Burundi waliondolewa kwenye utawala baada ya umwagaji mkubwa wa damu na pale walipomuua rais m'bantu (mhutu) aliyechaguliwa kidemokrasia. Rwanda ilipata uhuru chini ya uongozi wa waliyo wengi lakini watutsi chini ya kagame na kusaidiwa na uganda wakaondoa kijeshi uongozi wa wabantu walio wengi.Hili wazo niliwahi kusikia speech moja ya hayati Nyerere. Kabla ya Ukoloni lilikuwa ni kabila moja ambalo liliambaa Rwanda hadi Congo.
Kama Arizona iliwahi kuwekewa mipaka katikati na nusu ya waarizona wakawa US na wengine wako Mexico. Kama Wamasai wako Kenya na TZ, Wakurya wako Kenya na Tz, Wajaruo wako Kenya, Tanzania, Uganda na South sudan, Wamakonde wako kote na makabila mengi duniani.
Kwanini wenzetu hawa watutsi ambao kiasiri wamekuwepo huko mashariki mwa Congo, Rwanda na Burundi imekuwa ni tatizo?. Kwa nini wasitambuliwe kama makabila mengine ambayo yanapatokana nchi mbili.
Wajuvu mtujuze zaidi..