Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Tafuta wazazi wa mseveni......au wanyankole ili ujue historia yao kabla ya wakoloni kuja huko na kuweka mipakaKama niko wrong tupe hiyo historia sahihi kama museven hakua mkimbizi wa kitutsi pale Uganda na kasababisha uuaji wa watu zaidi ya 800k.
Makabila yenye watu wengi yanashindwaje kuwadhibiti hadi kikundi kidogo cha watu kiwatawale. Huoni kuwa tatizo sio wao ni hao wanaowaruhusu?Tatizo watutsi wana umbari wabaguzi na wabinafsi. Ila hayo sio shida. Shida iko wao kujidai ndio wajuaji peke yao na kutaka kutawala popote walipo bila kujali idadi yao ndogo. Burundi na rwanda wako asilimia 15 kwa kila nchi ila wanataka watawale nchi. Burundi waliondolewa kwenye utawala baada ya umwagaji mkubwa wa damu na pale walipomuua rais m'bantu 'mhutu' aliyechaguliwa kidemokrasia. Rwanda ilipata uhuru chini ya uongozi wa waliyo wengi lakini watutsi chini ya kagame na kusaidiwa na uganda wakaondoa kijeshi uongozi wa wabantu walio wengi.
Tatizo kule congo japo ni wachache kwenye majimbo ya kivu kusini na kaskazini wanataka waongoze majimbo hayo na pia watengewe nafasi za vyeo serikali kuu kinshasa na kwenye majeshi yote nchini. Hao ndio watutsi kina kagame. Watu wana umbari wabinafsi na walafi wakubwa wa madaraka.
Ila usisahau kua wahutu tokea uhuru wa rwanda walikua wanaua watusi kwa mauaji ya halaikiTatizo watutsi wana umbari wabaguzi na wabinafsi. Ila hayo sio shida. Shida iko wao kujidai ndio wajuaji peke yao na kutaka kutawala popote walipo bila kujali idadi yao ndogo. Burundi na rwanda wako asilimia 15 kwa kila nchi ila wanataka watawale nchi. Burundi waliondolewa kwenye utawala baada ya umwagaji mkubwa wa damu na pale walipomuua rais m'bantu 'mhutu' aliyechaguliwa kidemokrasia. Rwanda ilipata uhuru chini ya uongozi wa waliyo wengi lakini watutsi chini ya kagame na kusaidiwa na uganda wakaondoa kijeshi uongozi wa wabantu walio wengi.
Tatizo kule congo japo ni wachache kwenye majimbo ya kivu kusini na kaskazini wanataka waongoze majimbo hayo na pia watengewe nafasi za vyeo serikali kuu kinshasa na kwenye majeshi yote nchini. Hao ndio watutsi kina kagame. Watu wana umbari wabinafsi na walafi wakubwa wa madaraka.
Museveni pale uganda hana baba au shangazi iko yeye na familia yake, yule mzee Amos kaguta alikua mme wa mama ake baba ake na SalehTafuta wazazi wa mseveni......au wanyankole ili ujue historia yao kabla ya wakoloni kuja huko na kuweka mipaka
Fuatilia hidtoria ya hayo makabila kabla ya kuja wageni.Kama ni kweli kwa nininwenyeji wa hapo wasiwe watubwa kwanza kuwatetea. Serikali ya Congo haijui hayo au kuna vitu vinafanywa kusudi.
Ni sahihi hata jamaa mmoja humu siku hizi simuoni avator yake ilikuwa ni German Shephard aliwahi kuandika thread kuwa hata makabila mengi EA yaliundwa na wakoloni kimipaka.Congo imewekewa mipaka na wabelgiji
Sasa kumbe jirani wew sio msomi wa historia ni shabiki lia lia....kama wale wa msikiti wa tambani🤣🤣Museveni pale uganda hana baba au shangazi iko yeye na familia yake, yule mzee Amos kaguta alikua mme wa mama ake baba ake na Saleh
Waarabu wachovu wasingeweza. Wanaoenda katibu na Bahari ili kikinuka wanakimbia na mashua hadi kwao.Fuatilia hidtoria ya hayo makabila kabla ya kuja wageni.
Unajua congo mpaka waarabu wa Zanzibar walitaka kutawala na walipigwa kichapo heavy na wabelgiji
Nipo mtani.....
Kwanza asalamu aleyikum
Ila msomali namkubalo, kila anapoenda hakubali kiwa mnyonge lazima akamate uchumi kihalali au kiharamu.Hao kama wasomali. Waogope wakimbizi wa VITA
Kuna mtutsi mmoja aliandika humu jf akitaka wapewe ngara iwe wilaya yao!Hata tanzania wapo sana sana ngara kagera
Hoja zake zilikuwa ni zipi au fujo tu.Kuna mtutsi mmoja aliandika humu jf akitaka wapewe ngara iwe wilaya yao!
Msomali anafanikiwa sababu ya nature ya maisha yao.Ila msomali namkubalo, kila anapoenda hakubali kiwa mnyonge lazima akamate uchumi kihalali au kiharamu.
Dsm kkoo, SA hadi wajomba wa Soweto wakaanza kuvamia maduka yao na kuiba viroba vya chumvi na unga. Walikuja mikono mitupu ndani ya muda mfupi wano vizuri.
Ila hawa wenzetu kama wavivu wanapenda kutawala kwa kutumia espionage na ujanjaujanja
Yeah......nenda kondoa.....kwanini kuna waislamu wengi???Ni sahihi hata jamaa mmoja humu siku hizi simuoni avator yake ilikuwa ni German Shephard aliwahi kuandika thread kuwa hata makabila mengi EA yaliundwa na wakoloni kimipaka.
Hata dini kukuta watu flani wa dini flaninwamerundikana sehemu moja ni matokeo ya wakoloni pia.
Ntafuatilia.
Na wahangaza waende wapi mkuu??Kuna mtutsi mmoja aliandika humu jf akitaka wapewe ngara iwe wilaya yao!
Resilience (uwezo wa kusimama trna baada ya kuanguka) kwa iko juu. Jamaa alikuwa anahojiwa anasema wao waliingia SA hawana kitu, wakakopeshwa bidhaa na wahindi malikauli hadi wakajikuta wanamiliki maduka makubwa south wakiwa wameanza na zero.Msomali anafanikiwa sababu ya nature ya maisha yao.