Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

Shida sio Nchi yao,tatizo ni mpaka wa Nchi ya Congo kuwa na raia wa karibia Nchi zote za maziwa makuu zilizo karibu na Mpaka mrefu wa Congo.
Suluhisho liwe la kuwatambua raia hao kama sehemu ya Congo au kuimega Congo ili raia wawe na na mamlaka kamili ya namna yao ya kuishi.
Ni vigumu sana kwa Raia hao kupata msaada kutoka Kinshasa iliyo mbali Kwa zaidi ya 5000Km,kuliko Jirani Uganda,Rwanda au Burundi.
Mashariki ya Congo sio Mali ya Serikali ya Kinshasa bali ni Mali ya Raia wanaoishi hapo toka enzi na enzi,lakini pia asili na jiographia ya eneo inawabeba katika umiliki kuliko raia wengine wa Congo walioko Kinshasa.
Waliogawa mipaka Mwaka 1884 wakifanya kusudi kwa kuwa walijua ya kuwa tawala/himaya za watu wa maziwa makuu zilikuwa imara hivyo zingeliwapa usumbufu kuchota rasilimali.
 
sio shida kuwatambua ila swala hapa ni issue ya siasa za huko na uhasama uliopo baina ya watutsi na watawala wa congo, burundi huwa hawawaamini kabisa hilo ndio tatizo.

NB: Kwa heshima na nia njema, naomba upitie wasifu wangu na unisaidia ktk hitaji langu la ajira.
Mimi ni kijana mchapakazi na mwaminifu, miaka 32, makazi yangu Dar es Salaam. Nina shahada ya utawala, na uzoefu wa miaka 8 katika usimamizi wa miradi, utafiti, data entry, na usimamizi wa mitandao ya kijamii, pia nina ujuzi na uzoefu kwenye customer care, masoko, na mauzo. Naweza kusaidia katika kuandika maandiko mbalimbali ya kiofisi, miradi, tafsiri, na kubuni nakutengeneza tovuti kwa ubora.
Ninaomba fursa ya ajira na nipo tayari kufanya kazi mara moja mahali popote nchini.
Nipigie/text kwa 0769 055050. Asante!
 
Watusi kabla ya kagame hawakua na shida kabisa na kongo!!

shida yao ilionekana wakat wa vita ya kwanza na yapili ya kongo ndipo walipoanza kuchukiwa.
Waliungana na waasi kwenda kumng’oa mobutu wakat uo waliua sana makabila mengine na kujimilikisha maeneo wakisaidiwa na rwanda na uganda.

Kuanzia hapo jamiii ya kongo iliiona rangi yao halisi hvo wakaanza kuchukiwa na kila mtu kuanzia ituri,kivu kusini na kaskazini
 
Nasitika sana uwe yeyote hauna zaidi ya utanzania wako

Tanzania ni Nchi na tunaipenda mtake msitake.
Hapa hatuna UKABILA.
Tumshukuru MUNGU
 

Watanzania by nature ni wabaguzi, kila mtu ni mbinafsi kwa wengine nje ya ethnic group aliyopo. Mtanzania atambagua kila mtu nje ya kabila lake, profession yake, mkoa wake, nchi yake, imani yake, etc.

Ukianzisha mada kuhusu mchaga, hapa utaona negative posts za kutosha kutoka kwa wasio wachaga, ukiweka mkenya, mnyaturu, mmakonde, mmarekani, msouth, mnageria, mwanamuziki, mfaransa, mkongo, mhutu, mmasai, daktari, nesi, hakimu, Tiss, polisi, utaona kila aina ya comment mbaya kumuhusu.

So hapa tutegemee kila neno chafu na baya kuhusu watusi!

Haya tuendelee...

By the way nchi zote tajiri zimejengwa kwa diversity ya watu wake! Kila mgeni anakaribishwa kuweka mchango wake!
 
Miaka yote wamechukuliwa hivyo mbona. Shida ni yale madini. Halafu tall anataka kutanua Rwanda imege Congo kidogo.ukienda Kinshasa wao wanyamulenge viongoz na wafanyabiashara wakubwa tu
 
nimesoma jinsi walivyotawala rwanda na burundi kipindi hicho cha mwami nilishangaa kama unavoongea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…