The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Umuofia kwenu,
Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi.
Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba kurudia VYOTE vya juu wamekalia waTutsi wakati wao ni 14% tu ya population. imagine
Rais - mTutsi,
Security adviser - mTutsi,
Chief of Staff - mTutsi,
Waziri wa Ulinzi- mTutsi,
Mageneral wote 4 - waTutsi,
Maluteni general wote 4 -waTutsi, Mamejor general 15 wote - waTutsi, Mabrigedia general 23 wote -waTutsi !!.
Hali iko hivyo hivyo kwa wakuu wa idara za serikali, maofisa wa serikali, wakurugenzi wa mashirika nk. Yani kama una dsTV na hua unatazama RwandaTV utakubaliana na mimi kwenye taarifa zao za habari utaona viongozi wote wa Rwanda hua ni waTutsi tupu na hata watu wote kwenye nyadhifa za maana utawaona waTutsi tupu. Ikumbukwe kuna maelfu ya wakimbizi wa kiHutu hapa Tanzania waliokataliwa kurudi kwao wa wengine wengi nchi tofauti tofauti ikiwemo Uganda, Kenya, Afrika Kusini nk
Hivi hili likoje ?!, Raia wa Rwanda waliouana kwa mamillion 1994 kisa ukabila wanalionaje hili kua sawa ?! na je hili jambo halina madhara yoyote kwa kanchi haka kwenye size ya mkoa wa Tabora?