Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

Katika kitabu chake cha RWANDA BEFORE THE GENOCIDE. mwandishi J.J.Carney analilaumu kanisa la Catholic kw a kushindwa kuliokoa taifa dhidi ya mauaji ya kimbali . Tena Taifa ambalo 90% ya raia wake ni wakristo na zaidi ya 70% ni waumini wa kanisa hilo kwa uzembe kama huu unaoendelea Rwanda.
Jamaa anasema kabla ya vita viashilia vilionesha kabisa kuwa kuna tabaka halitendewi haki nchini humo na kanisa waliliona na kulitambua jambo hilo cha kushangaza badala ya kukemea ndo kwanza kanisa likachochea zaidi. The rest is history.
Fikiria angefanya Muislam mmoja tu huu upuuzi wangelaumiwa Waislam dunia nzima
 
20221227_181959.jpg

Watu wanashangaa mtoto wa kagame unakuwa bata mbele huko na malaya
Proved mtu chake
 
Back
Top Bottom