Katika kitabu chake cha RWANDA BEFORE THE GENOCIDE. mwandishi J.J.Carney analilaumu kanisa la Catholic kw a kushindwa kuliokoa taifa dhidi ya mauaji ya kimbali . Tena Taifa ambalo 90% ya raia wake ni wakristo na zaidi ya 70% ni waumini wa kanisa hilo kwa uzembe kama huu unaoendelea Rwanda.
Jamaa anasema kabla ya vita viashilia vilionesha kabisa kuwa kuna tabaka halitendewi haki nchini humo na kanisa waliliona na kulitambua jambo hilo cha kushangaza badala ya kukemea ndo kwanza kanisa likachochea zaidi. The rest is history.