Kwanini Watutsi wanapendelewa sana huku wahutu wakipuuzwa, kudharauliwa ili hali wao ni wengi. Je, kuna madhara yoyote kwa hili?

Nimeishi nao sana mkuu na hata wakati wa jiwe miaka ya mwanzo nilifanya nao kazi kazi katika taasisi fulani ya serikali, wengi wao ni watu poa sana hawana nongwa. Sema jiwe alikua tu na mapungufu yake.
Wana ubaguzi sana hawa watu.Kama hujui lugha yao wanakuona kama haramia tu (Jongoli).
 
Akuna Muhutu wa ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda atakaemsumbua PK kwa namna yeyoye ile iwe kwa mtutu ama propaganda kama za mleta mada.
 
Vita ni mbaya ila nilitamani wakati ule Jk alivyotaka kukinukisha, majeshi yetu yangekazingira hako kakitongoji tukapige kila upande na wanawake wao tuwannje.
M23 walikimbilia uganda,kulikua na dalili zote wangekimbilia kigali tungeunga nao 😂
 
M23 walikimbilia uganda,kulikua na dalili zote wangekimbilia kigali tungeunga nao 😂
Aise tungemnyoa ndevu PK kwa chupa. Wakati huo nilikua Mwanza ile kambi ya jesh 602 Ilemela ilijengewa uwanja wa ndege haraka yakawa yanatua madege ya kila aina mule ndani marufuku zikabandikwa hakuna kusogea wala kupiga picha.

kuna treni zakawa zinaleta mabehewa yamefunikma yanaelekezwa 602 Ilmela wajuba wakawa wanasema ni silaha nzito nzito zinasogezwa.
 
Nchi ndogo ila ina majenerali wengi sana!
Hizo pesa za kuwalipa wanapata wapi?
 
Nchi ndogo ila ina majenerali wengi sana!
Hizo pesa za kuwalipa wanapata wapi?
Wanaiba colbat, coltan, gold, uranium nk toka Congo na kuiuza marekani na UK pesa ya bure wanavuta mabillion ya dollars. Na kwakua wanajipatia kwa wizi na dhuluma ni lazima wajiimarishe kijeshi maana wanajua kuna siku waCongo wataamka na kuilinda mali yao.
 
Unafahamu size ya mkoa wa Tabora? Kwa taarifa yako kuna Rwanda 2.7 katika mkoa wa Tabora
 
Akuna Muhutu wa ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda atakaemsumbua PK kwa namna yeyoye ile iwe kwa mtutu ama propaganda kama za mleta mada.
Labda nikurekebishe mleta mada hana propaganda ana facts. Unafaham maana ya neno propaganda ?!
 
Wana ubaguzi sana hawa watu.Kama hujui lugha yao wanakuona kama haramia tu (Jongoli).
Kweli kabisa, pale kambi ya wakimbizi Benako, yani wao ni wakimbizi lazini walikua wanatuteta kwa lugha yao na unaona kabisa jinsi wanamajivuno.

Kuna demu mmoja alinivutia pale kambini nilisota sana kumpata na alinisababishia hatari kubwa sana haa ha ha aise nimekumbuka mbali sana 1998 nitaleta kisa chake hapa siku moja.
 
Yaani ni shida sana mkuu.Hii Nchi hatakiwi kupewa MSU **** tena
 
Mvungi ni ishu ya katiba,mwaikusa ...paka.
Hao wote wawili walikua ni constitutional lawyers na kama sitakua nimekosea mvungi pia alikuwepo kwenye hio kesi ya ICTR..kama nitakua nimeenda pembeni itakua ni makosa ya kumbu kumbu tu...
 
Wajamaa mshaanza kuitamani Rwanda. Naona mna hamu ya kwenda kupora mali zao na kunajisi dada zao. Ndiyo legasi ya Nyerere hiyo ya kuvuruga nchi za watu.
Kumbe legasi ya Nyerere ilikuwa ni kuvuruga nchi za watu !?
Nalog off Z
 
Mimi sio mroma ila roma huwezi kuifungia kienyeji kama makanisa ya kina kakobe
 
Hawa jamaa walimpa mfalme wa wahutu binti wa kitusi amuoe, halafu mtu wa kwao akaja kumtia mimba. Chifu akalea akijua ni mtoto wake, na happ ndiyo uongozi wa eneo zima ukaangukia mikono yao

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kweli?
Basi kama ni hivyo hawa jamaa wana akili za kuzaliwa
Wako hatua nyingi mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…