Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
AAA MSHAHARA WA KAWAIDA TUU SI KULINGANA NA BAJETI.Nchi ndogo ila ina majenerali wengi sana!
Hizo pesa za kuwalipa wanapata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AAA MSHAHARA WA KAWAIDA TUU SI KULINGANA NA BAJETI.Nchi ndogo ila ina majenerali wengi sana!
Hizo pesa za kuwalipa wanapata wapi?
Lazima wavune walichopanda..watusi wabaguzi sana. Wanajiona special sanaHawa jamaa mauaji ya kimbari part 2 yatatokea tena.
Ni suala la muda tu.
Waswahili wanasema muda utaongea
Huwezi kutenga vita na siasa zilizopelekea hivyo vita. Kitaalamu tunaita, Jus Ad Bellum na Jus In Bello. Kwenye Jus Ad Bellum tunachunguza sababu za kisiasa ambazo zimepelekea vita kutokea. Tunaangalia nani ni mhusika (Belligerents), kwanini nchi au makundi yamepigana vita, nani ni mkorofi na sheria za kimataifa hasa zile za umoja wa mataifa (UN) zinasemaje kuhusu hili.Vita vya 1990-1993 vilikuwa baina ya majeshi pinzani, sio vya kulenga kuangamiza jamii fulani tu.
Ila naamini hata Drc inastahili mahakama ya aina hiyo juu ya uhalifu uliotendeka huko.
mtu chake zitto junior Moronight walker
JokaKuu
Kibeho ilikuwa 22/4/1995kule Kibeho mwaka 1990
Hebu Tuonyeshe Regency ya nyerere kuvuruga amani nchi zingine?
Tunaomba ushahidi.
Maana SISI tuna USHAHIDI wa kagame kwenda nchi za watu
Kigali umefika?Hebu Tuonyeshe HIZO MALI za rwanda
NDIO, MALI GANI YA KIGALI YA KUAMISHA? HEBU TUONYESHE.Kigali umefika?
AMANI GANI ILIYOVURUGWA ZANZIBAR, KWANI KULE HAKUNA AMANI?Kavuruga amani Zanzibar alivyoleta majeshi yake
AMANI GANI ILIYOVURUGWA ZANZIBAR, KWANI KULE HAKUNA AMANI?
Unaitamani KigaliNDIO, MALI GANI YA KIGALI YA KUAMISHA? HEBU TUONYESHE.
HAMBAYO NI YA KUIBA IPO PALE RWANDA
umeelezea kwa welediHuwezi kutenga vita na siasa zilipelekea hivyo vita. Kitaalamu tunaita, Jus Ad Bellum na Jus In Bello. Kwenye Jus Ad Bellum tunachunguza sababu za kisiasa ambazo zimepelekea vita kutokea. Tunaangalia nani ni mhusika (Belligerents), kwanini nchi au makundi yamepigana vita, nani ni mkorofi na sheria za kimataifa hasa zile za umoja wa mataifa (UN) zinasemaje kuhusu hili.
Kwenye Jus In Bello, tunachunguza jinsi ambavyo hivyo vita vimepiganwa (Means and Methods of Warfare) na kufanya tathmini ya madhara yake kwa raia wa kawaida, mali zao na mazingira kwa ujumla. Hapa sasa ndipo tunachunguza jinai za kimaitaifa (Core International Crimes) ambazo mara nyingi hutokana na vita.
Jinai kama Uhalifu dhidi ya binadamu (Crime Against Humanity), Uhalifu wa kivita (War Crimes) na Mauji ya kimbari (Genocide), ambazo mara nyingi hufanyika wakati wa vita kwa maksudi au uzembe wa wanajeshi na maafisa wao (Commanding Officer).
Ukitaka kutengenisha siasa za kikabila za Rwanda ambazo zilianza tokea mwaka 1958 na vita kilichotokea mwaka 1990, 1994, 1997, 1998 na kuendelea mpaka sasa ni sawa na kumtenganisha TEMBO NA PEMBE ZAKE.
Lakini pia, historia ya siasa za nchi kama Rwanda husaidia kwenye suala zima la kutafuta haki na suluhu (Transitional Justice and Reconciliation) ambalo huanza punde baada ya mgogoro kuisha ili kuweza kujenga jamii imara ambayo haina migogoro.
Hapa ukitenganisha siasa za nchi husika na mgogoro wa kivita, huwezi kukata mzizi wa fitina. Maana watusi hawakuamka tu kutoka usingizini na kuanza kuchinja watutsi, au RPF hawakuanza tu kuua maelfu ya wahutu kule Kibeho mwaka 1990. Kuna sababu ambazo zilipelekea vitendo hivyo kutokea....
NB: Kuhusu DRC kuwa na mahakama kama ICTR nadhani ni utani mwingine ambao utatupotezea muda, rasilimali na kutuachia mijadala isiyo na mantiki. Miaka 28 tokea 1994, mahakama ya ICTR imewafunga wahalifu 61 tu (Convicted 61 members only) huku ikiwaachia (Acquitted ) wengine 14 kwasababu mahakama ilikosea kuchambua ushahidi.
Serikali ya DRC ishapeleka kesi kwenye mahakama ya haki ya dunia (The International Court of Justice) kuomba dunia ikemee uvamizi wa Rwanda na Uganda na kudai fidia za uvamizi wa kijeshi, wizi wa rasilimali, uuaji wa raia na uharibifu wa mazingira, lakini hakuna kilichofanyika mpaka leo hii. Unadhani mahakama kama ICTR nchini DRC ndiyo itafanya chochote cha maana ???
Mkuu ACHA MZAHA......
Kuna mauaji makubwa yalifanyika baada ya uvamizi wa ghafla wa RPF, kabla hata ya mwaka 1994. Mimi nimeona picha zake za mauaji kule ICTR-Arusha kutoka kwa mawakili upande wa utetezi. Mahakama kwasababu zake izijuazo iliukataa ule ushahidi...Kibeho ilikuwa 22/4/1995
Hata ukiwaambia ni kazi bure. Mtusi ni mbaguzi na mwenye dharau kwa kabila zingine. Ni waroho wa mali na wachoyo. Wanapenda kufa na kupona madaraka ya kisiasa. Wanatafuta madaraka na mali popote nje ya nchi yao ya asili.Umuofia kwenu,
Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi.
Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba kurudia VYOTE vya juu wamekalia waTutsi wakati wao ni 14% tu ya population. imagine
Rais - mTutsi,
Security adviser - mTutsi,
Chief of Staff - mTutsi,
Waziri wa Ulinzi- mTutsi,
Mageneral wote 4 - waTutsi,
Maluteni general wote 4 -waTutsi, Mamejor general 15 wote - waTutsi, Mabrigedia general 23 wote -waTutsi !!.
Hali iko hivyo hivyo kwa wakuu wa idara za serikali, maofisa wa serikali, wakurugenzi wa mashirika nk. Yani kama una dsTV na hua unatazama RwandaTV utakubaliana na mimi kwenye taarifa zao za habari utaona viongozi wote wa Rwanda hua ni waTutsi tupu na hata watu wote kwenye nyadhifa za maana utawaona waTutsi tupu. Ikumbukwe kuna maelfu ya wakimbizi wa kiHutu hapa Tanzania waliokataliwa kurudi kwao wa wengine wengi nchi tofauti tofauti ikiwemo Uganda, Kenya, Afrika Kusini nk
Hivi hili likoje ?!, Raia wa Rwanda waliouana kwa mamillion 1994 kisa mukabila wanalionaje hili kua sawa ?! na je hili jambo halina madhara yoyote kwa kanchi haka kwenye size ya mkoa wa Tabora?Umuofia kwenu,
Kwa nje utasikia waRwanda wakijisifia kua wako wamoja hawana tena ukabila, wanapendana, wanashirikiamda bla bla bla ila maajabu wote wanaoimba hizi ngonjera 10 out of 10 hua ni waTutsi.
Kutokana na sensa ya 1994 waTutsi ni 14%, waHutu 85% na waTwa ni 1% lakini vyeo vyote naomba kurudia VYOTE vya juu wamekalia waTutsi wakati wao ni 14% tu ya population. imagine
Rais - mTutsi,
Security adviser - mTutsi,
Chief of Staff - mTutsi,
Waziri wa Ulinzi- mTutsi,
Mageneral wote 4 - waTutsi,
Maluteni general wote 4 -waTutsi, Mamejor general 15 wote - waTutsi, Mabrigedia general 23 wote -waTutsi !!.
Hali iko hivyo hivyo kwa wakuu wa idara za serikali, maofisa wa serikali, wakurugenzi wa mashirika nk. Yani kama una dsTV na hua unatazama RwandaTV utakubaliana na mimi kwenye taarifa zao za habari utaona viongozi wote wa Rwanda hua ni waTutsi tupu na hata watu wote kwenye nyadhifa za maana utawaona waTutsi tupu. Ikumbukwe kuna maelfu ya wakimbizi wa kiHutu hapa Tanzania waliokataliwa kurudi kwao wa wengine wengi nchi tofauti tofauti ikiwemo Uganda, Kenya, Afrika Kusini nk
Hivi hili likoje ?!, Raia wa Rwanda waliouana kwa mamillion 1994 kisa ukabila wanalionaje hili kua sawa ?! na je hili jambo halina madhara yoyote kwa kanchi haka kwenye size ya mkoa wa Tabora?
View attachment 2281960
View attachment 2281960
NIITAMANI KWANI KUNA NINI.Unaitamani Kigali
Kumbe wewe ni zanzibar.Kila uchaguzi majeshi aliyoleta Nyerere yanamwaga damu za Wazanzibari
Ya Kabla ya 1994 kutoka October 1990 mpaka October 1993 waliuwa wahutu kama 40,000. Na watutsi baadhi ikiwemo watutsi wa bagogwe tribe.Kuna mauaji makubwa yalifanyika baada ya uvamizi wa ghafla wa RPF, kabla hata ya mwaka 1994. Mimi nimeona picha zake za mauaji kule ICTR-Arusha kutoka kwa mawakili upande wa utetezi. Mahakama kwasababu zake izijuazo iliukataa ule ushahidi...
Hii ni moja ya hoja ambayo upande wa utetezi wakina Prof Juan Mwaikusa walijaribu kuitumia kuwanasua watuhumiwa, lakini mahakama ilikataa kusikiliza ikisema haina mamlaka (Jurisdiction) kusikiliza kesi kabla ya mwaka 1994.
Hivyo mauaji ya Wahutu yaliyofanywa na RPF hayakuguswa kabisa.
Hoja ya msingi ni kwamba mauaji makubwa ya Wahutu yamefanyika nchini Rwanda kabla na baada ya mwaka 1994. Haikuishia hapo, RPF wakishirikiana na serikali ya Burundi walifanya mauaji makubwa ya wakimbizi wa kihutu nchini Zaire na Tanzania.Ya Kabla ya 1994 kutoka October 1990 mpaka October 1993 waliuwa wahutu kama 40,000. Na watutsi baadhi ikiwemo watutsi wa bagogwe tribe.