BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Wazo lako ni la hatari sana kwa mustakbali wa taifa husika,kumbuka kua,taifa linajengwa kuanzia ngazi ya familia,Kila mmoja afanye analoona linafaa.
Hakuna cha tasmini yoyote, Primary school mtoto akae na wazazi wake hakuna utetezi wowote wa mwanafunzi wa Primary kukaa boarding.Embu fanya tathmini tena
Kwanini bodaboda wanafikiriwa kuwa ni wabakaji wa vitoto vidogo?Maisha ya siku hizi ya kukimbizana na hela ni ngumu sana , hapo uchague akae nyumbani bodaboda wamvizie ukiwa bize na pesa , au umepeleke shule ya kulala adili na wanafunzi wenzake 🤔
Mtoto umleavyo ndivyo akua vifogovyo.
Siamini hili, ukatili ni nini?kwanza kuna watoto hata wanapenda boarding schools kwa sababu ya ukatili wa wazazi nyumbani, wengine ndiyo sehemu pekee (boarding) wanapoweza kusihi kwa amani na wengine hata likizo ikifika wanakuwa wanyonge kwa maana wanajua wanarudi kwenye ukatili ...
Mada nyingine hazina uhusiano na ngozi ila you racist fucks find a way to associate kila kitu na skin color. Huwezi kuona anything beyond skin colour, Low IQ mfAsilimia kubwa ya sisi ngozi nyeusi tuna kwepa sana majukumu hasa ya watoto na tunataka watoto wakae Bording mbali na macho yetu, kwamba huko ndio salama na Day sio salama, kwamba kule kuna Mapadri wakorofi, na Masister wakorofi sana.
Mzazi yuko tiyali apeleke kitoto cha miaka 7 Bording kikae huko kisa kule kuna Madam mmoja mzuri sana anajua kukaa na watoto. Sasa mama mzazi na Baba mzazi wanashindwa kutunza mtoto walie mzaa wanataka Madam ama Sir ndio awatunzie? Madam mmoja atunze watoto 300.
Tena mtu anajisifu mtaa mzima kwamba mtoto wake yuko Bording.
Bording school kwa sasa zinapigwa sana vita hata Kenta wanawaza kuondoa kabisa kitu kinaitwa Bording na kila mtoto akae na wazazi wake.
Wamekuja gundua watoto waaharibika sana Borimding kuliko wakiwa Day.
Zamani kilicho saidia Bording walikuwa wanaenda watu wakubwa kabisa.
Now day mtoto wa miaka 10 yuko Bording unategemea nini?
Mzazi anapaswa yeye ndie akae na mtoto wake na amfundishe maadali na wala sio Madam ama Sir ama Sisiter.
Ipo siku tutaelewa na itakuwa too late.
"Mbeleni" tayari imeshafika MkuuFamilia ndio msingi mkuuwa ujenzi wa taifa lolote lile,
Tabia,maadili na nguvu ya nchi nzima inategemea jinsi familia zinavyo lelewa na kusimamiwa,
Mtoto anajifunza nidhamu,upendo,heshima akiwa nyumbani kabla ya kwenda Shule au kwenye jamii,ndani ya familia ndipo mtoto anajifunza jinsi ya kuishi vizuri na watu wengine,jambo ambalo ndio msingi wa kuleta amani na mshikamamo wa taifa,
Tusikwepe majukumu ambayo yataleta matatizo kwa taifa zima huko mbeleni.
Siamini hili, ukatili ni nini?
Kesi nyingi ni wao , hao ndio vijana wengi wanaopatikana kwenye mazingira ya mtaani 24hrsKwanini bodaboda wanafikiriwa kuwa ni wabakaji wa vitoto vidogo?
Au tukubali maneno ya Lema wa chadema kwamba ni laana?