Mnachihanguu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 266
- 331
Wewe ni muongoukiona mtoto wako anakuogopa na hata kijificha au kutokuwa huru akiwa na wewe au ana furahia ukindoka na anakosa amani ukirudi, basi ujue unakosea ktk malezi, mtoto wako anapaswa aweze kuongea na wewe kama akiwa na tatizo aweze kukwambia, plius kama unamfokea au hata kumpiga mama yake mbele ya watoto wake huo ni udhalilishaji na unyanyasaji na itamuathiri watoto maisha yao yote ...
Hawa simbilisi wakiambiwa ukweli kama huu wanakuja na attacking kuwa huna uzazi😁😁😁Familia ndio msingi mkuuwa ujenzi wa taifa lolote lile,
Tabia,maadili na nguvu ya nchi nzima inategemea jinsi familia zinavyo lelewa na kusimamiwa,
Mtoto anajifunza nidhamu,upendo,heshima akiwa nyumbani kabla ya kwenda Shule au kwenye jamii,ndani ya familia ndipo mtoto anajifunza jinsi ya kuishi vizuri na watu wengine,jambo ambalo ndio msingi wa kuleta amani na mshikamamo wa taifa,
Tusikwepe majukumu ambayo yataleta matatizo kwa taifa zima huko mbeleni.
Unajua takwimu za mashoga na wasagaji waliotengenezwa na mfumo huo wa masoma(BOARDING SCHOOLS).Kabla ya kufanya maamuzi wapi asome angalia unaishi na nani na wapi kama seheme yenyewe ni changaniyikeni uswahilini kama Buguruni sijui Gongolamboto huwezi huwezi hata uwe sheikh mkuu wa Dar es salaam , peleka boarding kama sehemu ni kijijini bado watu wanaishi kwa kufuata maadili day school inaweza ikawa option bora. KUMBUKA MALEZI YA NYUMBANI NI ASILIMIA 30 tu kwenye makuzi ya mtoto.,
Watu wengi wanaishi kwa kufata mkumbo hawana uelewa wa vitu basic mpaka unashangaa.Mbaya zaidi huko boarding kuna maslahi ya wengine - waeneza ushiga na usagaji wameweka 'ofisi za kudumu', washika tenda za vyakula, wakurugenzi wa shule, n.k
Sidhani hata kama Wizara inayohusika na Ustawi wa Jamii inaona kuwa muundo huo wa maisha ni hatari.
Mbaya zaidi mpaka shule za kutwa zinakaribia kuwa shule za kulala. Kuna shule watoto wanafundishwa kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 4 usiku, hakuna likizo karibia mwaka mzima.
Kuna ulazima wa kuwa na sera ya malezi ikianisha kuwa wajibu wa malezi ni wa mzazi; na mamlaza za serikali za mitaa ziusimamie ipasavyo.
Kwa Tanzania, Elimu ni kama vita na ufauku ni almasi -unatafutwa kwa namna zote
Wengi wanaofagilia mtindo huo wa masomo ni aidha hawajui boarding palivyo au ni ulimbukeni.Ushamba na tamaa ya kupata cheti kizuri na sio maarifa ya asili (nature intelligence)!!
Kwasasa kupeleka mtoto boarding ni kama ku bet unaweza mkeka ukafa au kula!!
ukifuatilia kwa undani utagundua huu msamiati "mustakabali wa taifa" ni kitu ambacho hakipo ndo maana kila mtu anafanya analoweza kwa manufaa yake na wanawe...Wazo lako ni la hatari sana kwa mustakbali wa taifa husika,kumbuka kua,taifa linajengwa kuanzia ngazi ya familia,
Ni lazima kuwe na Parenting policies ili kubalance state intervation with family autonomy.
Hebu share hapa,hiyo result yako baada ya wewe kufuatilia kwa undani na kugundua hilo.Ukifuatilia kwa undani utagundua huu msamiati "mustakabali wa taifa" ni kitu ambacho hakipo ndo maana kila mtu anafanya analoweza kwa manufaa yake na wanawe...
Sawa wewe ndio unajua Boarding zikoje … KUPANGA NI KUCHAGUA.Unajua takwimu za mashoga na wasagaji waliotengenezwa na mfumo huo wa masoma(BOARDING SCHOOLS).
Unajua watoto wangapi wanajifunza kunywa pombe wakiwa boarding na kuvuta mibange.
Wewe utakuwa hujui bording ni nini😁😁😁
Boarding ni jela na jela wewe unaenda na tabia zako ila ukitoka unatoka na package ya ya tabia nyingi sana.
Boarding mtoto anaenda anadini anarudi uraiani hana dini.
huo msamiati huwa unatumika wakati ambao jambo fulani lisilo la kawaida kwenye jamii linapoonekana,,Hebu share hapa,hiyo result yako baada ya wewe kufuatilia kwa undani na kugundua hilo.
Tofauti ya comment yako na yangu ni time tu,huo msamiati huwa unatumika wakati ambao jambo fulani lisilo la kawaida kwenye jamii linapoonekana,,
na hilo jambo huwa ni matokeo ambayo yanayotimiza chain ya matukio pengine ya muda mrefu..
kwahiyo tunapostuka kuona matokeo mabaya ndo huwa tunajifanya kuongelea "mustakabali wa taifa" ambao hakuna aliyetaka kuufanyia kazi mwanzoni..
na kiuhalisia hatuwezi kurudi nyuma pale tulipokosea maana hata mengine yanachangiwa na mabadiliko na "maendeleo" ya maisha yenyewe ya binadamu..
kwahiyo "mustakabali wa taifa" inaongelewa kuonyesha majuto ila hakuna lolote la kurekebishwa.
Tofauti ya comment yako na yangu ni time tu,
Mimi nimeongelea future ila wewe una ongelea present.
Alikuwa nao ila tangu February wapo kwangu sasa ......... Nishaanza wafundisha kuoga mpk wafike miaka saba aaah mafundiWeee! Hujamuachia baby mama?