Kwanini wazazi wanapenda watoto wakae Boarding, Wakati hapafai kwa sasa?

Alikuwa nao ila tangu February wapo kwangu sasa ......... Nishaanza wafundisha kuoga mpk wafike miaka saba aaah mafundi
Kwahiyo kazi hufanyi unalea sio? Kwanini umewachukuwa bado wadogo hivyo🤔
 
Kwahiyo kazi hufanyi unalea sio? Kwanini umewachukuwa bado wadogo hivyo🤔
wana miaka minne, naenda job wanaenda day care wakitoka wanaenda home.... sio mbali na home

Sitaki kuwa msumbfu kwa muke ya mtu
 
wana miaka minne, naenda job wanaenda day care wakitoka wanaenda home.... sio mbali na home

Sitaki kuwa msumbfu kwa muke ya mtu
Duhh sijui nmejisikiaje tu! Kama ni kweli lazima kuna namna wanahitaji kuwa na mama yao 4 years bado wadogo!
 
Kwa uhalisia ni kwamba mtoto akiwa chini ya miaka 14 inafaa apate uangalizi wa wazazi kwa karibu na ndo muda anaweza kujifunza maadili atakayoyaishi ukubwani, boarding ingefaa baada ya umri huo

Ila watoto kutokuwa na muda wa kutosha na wazazi ndo kizazi kijacho kinapotea
 
Duhh sijui nmejisikiaje tu! Kama ni kweli lazima kuna namna wanahitaji kuwa na mama yao 4 years bado wadogo!
Ni kweli madam Ila anaenda kwenye ndoa yake..... Tumwache akawajibike huko na kuna muda akipita karibu na shulen atanipgia yupo nao ingawa ndo maisha yalivyo
 
Ni kweli madam Ila anaenda kwenye ndoa yake..... Tumwache akawajibike huko na kuna muda akipita karibu na shulen atanipgia yupo nao ingawa ndo maisha yalivyo
Dahh kweli una moyo, aisee mimi ningekosa amani kabisa! Ningepungua kgs kukaa mbali na madogo umri huo hmm😢
 
Dahh kweli una moyo, aisee mimi ningekosa amani kabisa! Ningepungua kgs kukaa mbali na madogo umri huo hmm😢
Ni kweli madam, ukiwa na mapenzi kwa watoto wakiwa wadogo ni kamzozo ila tuache maisha yaendelee...... Aika mae
 
Mwezi August zimeripotiwa taarifa toka wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kuwa watoto wilayani humo wameathirika kwa ulawiti.

Uchunguzi umeonyesha kuwa wengi wao wanalawitiwa majumbani mwao.
Baadhi ya familia zimebaini tendo hilo linafanywa na wachunga ng'ombe (Wakata nyasi) na watumishi wengine majumbani.
Kw sababu kama hiyo ni vema tuchukue tahadhari bila kujali utampeleka bwenini au hata kama mtoto atabaki nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…