[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walikua wanamlia timingKuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo aliekufa kwenye banda, basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....[emoji1787]
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...[emoji12]
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....[emoji13]
Weka link basi nikausomeYani hadi nimerudi tena kwenye ule uzi...nimecheka kweli yani[emoji23][emoji23][emoji23]
Thread 'Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?' Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?Weka link basi nikausome
Thread 'Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?' Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?Lete link nione na mimi
Mimi nipo rafiki yangu,, unanitafuta wapi?Nakutafuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo aliekufa kwenye banda, basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....[emoji1787]
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...[emoji12]
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....[emoji13]
Watoto wangu wananiona mnoko kila niingiapo chumbani kwao kuangalia usafi na mpangilio wao.Na siachi kuwatembelea.Huwa nawaambia wapo kambi ya jeshi na mimi ni CO wao.Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana
Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta chumba cha watot kichafu kama vile mlezi hayupo
Unakuta chumba cha watoto nguo zimetupwa tupwa yani hakuna mpangilio, wakati mama yupo, baba yupo
Hii hali si kwa watu wenye kipato cha chini tu hata wenye kipato cha kati wengine kipato kikubwa ambao wana uwezo wakunua mashuka ya kujifunika ila wao watoto hawawajali kabisa
Wewe hapo unayesoma uzi huu vipi wanao wanalala Mazingira mazuri ebu kakague chumba cha watoto uone
Asante sana mkuu, nimeona!Thread 'Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?' Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?
Haya bhana😃😃🙌Asante sana mkuu, nimeona!
🤣🤣We mchokoziThread 'Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?' Hivi ukimla kuku aliyeng'atwa na nyoka mwenye sumu, unaweza kufa?
Si aliomba link jamani😃😃😃🙈🙈🤣🤣We mchokozi
🤣🤣Ushimen kayaleta hayaSi aliomba link jamani😃😃😃🙈🙈
Watu tulishasahau😂😂🤣🤣Ushimen kayaleta haya
Link muhimu,mjini hapa🤣🤣
Wazazi wachache sana wanaojali mahala ambapo watoto wana lala yani tunasahau mahitaji ya binadamu ni chakula, mavazi, na magazineMleta post ana kitu huyu asipuuzwe,,
Ni kwl mkuu watu wengi hawathamini wanapolala watoto wao.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Miye naongelea uhalisia wa jamii zetu sasa unahamisha mada grow up nani kakwambia miye na watoto wapi nimesema watoto wangu, aise jamii yetu ina safari ndefu sanaMleta mada anajinadi kwa usafi wa vyumba vya watoto wake, lakini siku likija kumkuta jambo na majirani wakaona watoto wake wanapo lala ndio itakua kama ya baba J na bakuli la bati wakati anaduka la vyombo standard vya nyumbani..🤣