Kwanini wazazi wengi hamthamini malazi ya watoto

Kwanini wazazi wengi hamthamini malazi ya watoto

Kuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo aliekufa kwenye banda, basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....[emoji1787]
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...[emoji12]
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....[emoji13]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walikua wanamlia timing
 
Kuna jamaa mmoja alikua akileta stori nyingi kuhusu hekaheka zake na mama J, basi skumoja hakuacha pesa ya meza nyumbani kwake ambapo alijinadi kwamba ni mambo safi.
Jioni alipo rudi akakuta ameandaliwa mchemsho wa jogoo aliekufa kwenye banda, basi akaja kututambia hapa ndani akatupia na picha.....[emoji1787]
Hapo ndipo kosa lilipo anzia, maana wana Jf hawaku muacha salama kwa picha ya bakuli lile la bati lililo choka ndio anakulia mchemsho wa supu...[emoji12]
Aloooooo.... skuhiyo nilicheka sana....[emoji13]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana

Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta chumba cha watot kichafu kama vile mlezi hayupo
Unakuta chumba cha watoto nguo zimetupwa tupwa yani hakuna mpangilio, wakati mama yupo, baba yupo

Hii hali si kwa watu wenye kipato cha chini tu hata wenye kipato cha kati wengine kipato kikubwa ambao wana uwezo wakunua mashuka ya kujifunika ila wao watoto hawawajali kabisa

Wewe hapo unayesoma uzi huu vipi wanao wanalala Mazingira mazuri ebu kakague chumba cha watoto uone
Watoto wangu wananiona mnoko kila niingiapo chumbani kwao kuangalia usafi na mpangilio wao.Na siachi kuwatembelea.Huwa nawaambia wapo kambi ya jeshi na mimi ni CO wao.
 
Mleta post ana kitu huyu asipuuzwe,,

Ni kwl mkuu watu wengi hawathamini wanapolala watoto wao.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Wazazi wachache sana wanaojali mahala ambapo watoto wana lala yani tunasahau mahitaji ya binadamu ni chakula, mavazi, na magazine

Sasa siye tumekomaa na chakula tu kuhusu malazi bora wallet yNi mtu anazaa ajui wanae wataishi vipi, mara watogo wallet sebuleni, wengine awaombee wakalale kwa jirani yani ni tafrani, kweli maisha , magumu ila tunawakosea sana watoto magazine, mwingie kununulia , mtoto nguo mpaka sikuu, au mtoto yeye anavaaga nguo za baba tu ikichoka mze😂😂😂e anaenda ipunguza anavaa dogo au mama anampa nguo binti inapunguzwa tu so watoto wanakuwa wao wazee wa second hand
 
Mleta mada anajinadi kwa usafi wa vyumba vya watoto wake, lakini siku likija kumkuta jambo na majirani wakaona watoto wake wanapo lala ndio itakua kama ya baba J na bakuli la bati wakati anaduka la vyombo standard vya nyumbani..🤣
Miye naongelea uhalisia wa jamii zetu sasa unahamisha mada grow up nani kakwambia miye na watoto wapi nimesema watoto wangu, aise jamii yetu ina safari ndefu sana
 
Back
Top Bottom