MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Nilitaka niseme na mimi hapa nakumbuka mzee ndugu wote walikuwa walija dar kutafuta maisha wanafikia home chumba na sebule watapewa kazi na kula kulala bure wakifajipata waneenda wanajitegemea kwa kifupi mzee alikuwa anajiweza angekuwa ana exposure hata 4/10 mzee angekuwa tajiri sana miaka hiyo 2000 mzee anachinja ng'ombe 6 na wanaisha chapu pombe yake ilkuwa serengetiLakini tulizaliwa mjini sio vijijini, ndugu ndio walitoka vijijini kuja kutafuta maisha mjini, sema utakua sahihi kwa maana nakumbuka magunia ya mahindi na mihogo yalikua yanatoka kijijini, maramoja moja.
kiwanja chake ni vipub vidogo vidogo .....sahivi hao ndugu wanajikuta mastaa.