Kwanini Waziri January Makamba anaongoza majadiliano ya Wizara peke yake?

Katiba mpya ni jibu......
na kila siku tunazidi kuona umuhimu wa katiba Mpya
 
January alisomeshwa na baba yake marekani sijui vyuo gani. Binafsi simuamini chembe. Ni mtafuta ukuu na mali mkubwa. Hatutakubali biashara ya kuuza mashirika ya umma tena. Ajiandae kupingwa vikali.
 
Makamba anakataa majungu?
Waziri yeye anacho kitaka ni taarifa za kweli sio majungu.
kuna tofauti kati ya majungu na taarifa za kweli.
majungu na taarifa au habari za uongo zenye nia ya kumharibia au kumchafua mfanyakazi mwenzako.
 
Anataka kuonyesha kuwa yeye ni jeshi la mtu mmoja ili apate umaarufu lumuumbua yule mwongo mwongo aliedanymganya umma kuwa mwaka kesho eti bwawa litaanza kufanya kazi wakati unaambiwa kujaa maji tuu ni miaka 5
 
Koma kabisa kudharau wamachinga, no kiongozi gani wa wamachinga?
 
Vita mnavyompiga sidhani kama itawasaidia na watz watanufaika nayo, mwacheni afanye kazi, kama una ushindi wa tuhuma yeyote peleka kunakostahili ifanyiwe kazi!
 
Huyu ndiye mwenyewe, ktk Twitter anapost akiwa peke yake na kudai leo nimeongea na ........... nk. Tena hatumii lugha ya kiswahili.
Kwa lugha nyingine tunasema kuwa anajichoosha tu
 

William Mganga Ngeleja
 
Keep cool men do not under estimate our system keep cool
 
Mnazi unakatwa huku jameni.... Nasikitika sana vijana wengi hawapo vizuri kwenye maswala ya usalama.
 
Koma kabisa kudharau wamachinga, no kiongozi gani wa wamachinga?
Nimekuambia hapo juu leta uthibitisho wa vikao alivyofanya mwenyewe bila kushirikisha wasaidizi wake unarukaruka tu kama jinga
 
Reactions: Tui
Umeelewa ndio maana umechambua vizuri mkuu.....sema hawezi kuwa rais.....ila atakuwa waziri mkuu
 
Unadhani hatojulikana?

Akifanya pupa wenzie hao career civil servants watamtegea bomu halafu litamlipukia na huo ndio utakuwa Mwisho wake!!!
January should take extra care because he has many enemies internally and externally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…