Kwanini Waziri January Makamba anaongoza majadiliano ya Wizara peke yake?

Vision 2030
 
Jibu hoja wacha vihoja
Hoja imejibiwa kwa ushahidi wa picha kwamba hajafanya kikao peke yake kama mleta mada alivodai.Sasa wewe weka ushahidi wa kupinga huu ushahidi au kaa kimya na wacha kushabikia majungu.
 
Hoja imejibiwa kwa ushahidi wa picha kwamba hajafanya kikao peke yake kama mleta mada alivodai.Sasa wewe weka ushahidi wa kupinga huu ushahidi au kaa kimya na wacha kushabikia majungu.
Chama Cha Majungu.
Naamini umeelewa wewe mgeni wa siasa
 
Ndio ujinga wako wa generalisation bila ushahidi wowote.Umeletewa ushahidi wa picha na majina ya waliohudhuria vikao hivyo unabaki kupayuka. Huo ugwiji wako wa kisiasa ni kuongea pumba na kuunga mkono majungu.
 
Mjinga anaposhindwa kutetea hoja yake au kupinga hoja kwa hoja na ushahidi hukimbilia matusi.
 
Mwizi wa Mitihani Kidato cha nne kapewa Wizara ya Nishati
 
Ni muendelezo wa kupita bila kupingwa.
 
Dhana ya collective responsibility haimaanishi uwajibikaji wa pamoja Kati ya Waziri na Katibu Mkuu, wala maafisa, bali Collective responsibility inatumika kumaanisha uwajibikaji wa pamoja miongoni mwa mawaziri wa Serikali bila kujali wizara zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…