Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

Wazungu wana matabaka aka social classes. Waliomaliza vyuo au elimu ya juu kiujumla wanakuwa wapo makini na afya zao na aina ya vyakula wanavyokula, hawa wana kipato kikubwa na kwa Marekani wanapenda kwenda grocery stores kama Whole Foods, Costco, Trader Joe's, etc. Wale wenye elimu duni wanapenda sana kula vyakula vya bei rahisi, vyenye sukari, chumvi, mafuta na kemikali nyingi vilivyotengenezwa viwandani au processed foods vikijumlisha fast foods kama pizza, burgers, fries, ice cream, fried chicken, soda, candy, smoothies, fish & chips, kebab, canned food, frozen microwave ready meals, etc. za restaurants na supermarkets za bei rahisi kama Walmart, Spar, Lidl, Aldi, etc. Kundi la mwisho huwa hawapendi kupika au kutengeneza chakula from zero. Hawa ndiyo utawakuta ni overweight sana.
 

Kuna mtu alienda Marekani kwa dada ake walipofika Mall dada ake akamwambia nnavyokujua wewe pamoja na Watanzania tununue sahani moja tutakula wote,akashangaa Mmarekani mwingine anakula sahani nzima.
Nadhani sisi hatuli sana ila chakula tunachokula ni content za aina moja.
Hebu fikiria ambavyo familia nyingi za kitanzania ambazo maisha ni ya kawaida wanakula nyama mara mbili kwa wiki tena tuvipande viwili tudogo unaanzaje kuwaambia tusile nyama jamani.
 
Inatakiwa ule pale unapohisi njaa, siyo kutwa mara tatu kama dozi ya amoxylin.
kula kunataka nidhamu.
 
Mkuu, imependeza kwelikweli!!
Wabongo tunapenda sana vitambi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…