Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu weusi wavivu sana ukiniondoa Mimi wanapenda njia fupi fupi hawapendi kutembea njia ndefu, kuna mjinga nafanya nae project ya watasha fulani huko mbele alieniunga ni yeye ila Jamaa anapenda shortcut balaa janja Janja nyingi anafikiri wazungu ni wazunguke wajinga Ila wanamchora tu huyu anatuonaje anaambiwa hii project ili iende fanya hivi Jamaa hataki anataka kufunikafunika tu abolonge project ya watuWeengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Ukweli mchungu usiopendwa na Watu weusi wengi zaidi.Waafrika Tujitafakali, Maana si kwa Matusi Haya!
Denis Mpagaze
___________________
Tangu Wazungu wakutane na sisi kwa mara ya kwanza mpaka leo bado hawajaamini kama na sisi ni watu! Bado kabisa!
Charles Robert Darwin alipokutana na mtu mweusi kwa mara ya kwanza alisema tunaukaribu sana na nyani🫢🫢🫢.
James Watson, Mtaalamu wa Tiba na Mshindi wa Tuzo ya Nobel mwaka 1962 alisema mtu mweusi ana akili ndogo kuliko mtu mweupe.
Mwaka 1985 Kabulu Pieter Willem Botha alisema watu weusi wanaofanana na binadamu na kutenda mambo kama binadamu hayawahalalishii wao kuwa watu wenye akili timamu na binadamu aliyetimia.
Botha akaendelea kusema katika upeo Wazungu ni bora kuliko Weusi hilo halina ubishi kwani limejidhihirisha kwa miaka mingi iliyopita kwa maana hiyo mweusi ni malighafi kwa mweupe.🫢🫢🫢
Mzungu mwingine nimemsahau jina lake, yeye alisema kadili mtu mweusi anavyozidi kuwa mweusi ndivyo anavyozidi kupungukiwa akili! Jamani jamani😌😌.
Donald Trump anasema nchi nyingi za kiafrika zilitakiwa ziendelee kutawaliwa kwa miaka 100 kwa sababu hawajui lolote kuhusu utawala bora.
Comte Joseph Arthur Gobineau miaka ya 1800 aliwahi kusema Waafrika ni watu wasiokuwa na ubunifu wowote wa kisanyansi na kisiasa badala yake wanafaa zaidi kwa kazi ya kucheza, kuvaa na kuimba.
Huyu bwana aliwahi kusema duniani kuna, race tatu tu- weusi ambao ni wajinga na washamba; wanjao ambao ni dhaifu na weupe ambao wana akili na wazuri.🏃🏃
Anasema kati ya races zote tatu, weusi wamejaaliwa nguvu nyingi pasipouwezo wa kufikiri.🫢🫢🫢
George W. F Hegel aliwahi kusema Mwafrika halisi hana akili, hana maendeleo, hana utamaduni, hana dini pia hana maadili na adabu. Mwafrika kwa asili ni mdhalimu na mkatili.🙈🙈🙈
Lester Thurow anasema njia nzuri ya kuliokoa bara la Afrika ni kumrudisha tena Mzungu kuitawala Afrika maana Mwafrika ameshindwa kujitawala.
Sir Richard Burton alisema, Mwafrika anapofikia utu uzima, akili yake hudumaa na kuanzia hapo hukua kurudi nyuma badala ya kwenda mbele; anaweza kuiga na kuigiza kama nyani, lakini hawezi kuunda kitu chake.
Tracy Zille anasema isingekuwa Wazungu midomo yetu ingekuwa inanuka kama panya aliyeoza kwa sababu hadi leo tumeshindwa hata kutengeneza dawa ya meno.
Wao wanazalisha dawa za meno sisi tunazalisha Manabii Matajiri, Wachungaji na Maaskofu, wao wanazalisha dawa za meno sisi tunazalisha mafuta ya upako na maombi!
Hata Wamisionari walipofika Afrika waliona bara limemejaa washenzi waliotakiwa kuokolewa ili waende mbinguni.
Wazungu hadi kesho wanaamini wao ndo wateule wa Mungu wenye wajibu wa kuikoa Afrika.
Afrika tumeitwa majina yote mabaya; Bara la giza, bara lisilo na matumaini, kovu la dunia, pori la washenzi, bara lenye viumbe waliolaaniwa na waliokata tamaa; bara la watu wanaohihitaji kuokolewa na Mzungu.
Kabla ya kuwajibu Wazungu, Tujitafakari kidogo!
1. Gari linauzwa milioni mbili Japan, likiletwa Afrika linauzwa million 12! Yaani mtoza ushuru anakula nyingi kuliko mwenye mali, na anayeliwa na ndugu yake mtoza ushuru. Yaani Mwafrika anamla Mwafrika mwenzake. Sasa katika suala kama hili unaachaje kuwa na wasiwasi na akili ya mtu mweusi Afrika?
2. Tuna mafuta kila Bahari ya Afrika lakini tukitaka kuyachimba tunamwita Mzungu aje kutuchimbia na wakati tunazalisha mainjinia kila mwaka. Hapa kuna akili kweli? Ipo lakini imelala. Imelala au imelazwa? Sijui!
3. Malaysia walikuwa wanakwenda Ghana kujifunza kilimo cha mawese, leo hii Ghana wanakwenda kujifunza kila kitu Malaysia hadi kilimo cha mawese. Hapa nani hana akili? Nakupa mji!
4. Kila kitu kinachoonekana ni bora tunakiita cha kizungu yaani mpaka kuna panzi wa kizungu, kuku wa kizungu, nyoka wa kizungu, mapera ya kizungu, mahindi ya kizungu na nzi wa kizungu na wakati nzi ni nzi tu. Sasa hapa tofauti yetu na unyani iko wapi?
5. Juhudi za vijana wa Kiafrika kuanzia usanii, teknolojia, ubunifu haziungwi mkono, ila za wazungu zinaungwa mkono hatari. Huwa nashangaa Mwafrika mwenzangu anachukia nikitangaza kitabu changu kwenye kundi lake la Whatsapp lakini likipita tangazo la movie za kizungu na kichina na kifilipino hasemi. Hapa tukiambiwa sisi ni watu wa hovyo tutakataa?
6. Leo hii mwafrika hata chakula chake mwenyewe kimefutika, anakula chakula cha ng'ambo, chakula cha kwenye makopo na mvinyo wenye majina ya kizungu. Hii ndiyo fahari ya mwafrika. Kujenga uchumi wa kigeni! Hapa ukiitwa mjinga utachukia?
7. Unamunulia mkeo wigi la kizungu ili tu aonekane kama mzungu. Kwakweli hawezi kuonekana kama Mzungu, sana ataonekana Mzungu bandia. Au tuseme Mzungu kichaa. Tunashindana kuukataa uafrika kwa shilingi na dolali. Bure kabisa!😄🫲
8. Angalia elimu wanayofundishwa watoto wetu leo, unadhani wataweza unda hata radio hata ukiwapa miaka elfu ijayo? Thubutu! Hapa napo nani hana akili? Serikali au wewe unayesomesha?
9. Tukija kwenye suala la muda ndo utakutana na wagonjwa wa kutosha. Utadhani wakati Mungu anatuumba alisahau kuweka kipengele cha muda kwenye bongo zetu. Tunachelewa kila sehemu mpaka kwenye mazishi!😌😌
10. Sasa kama tunauana kwa sababu za kidini na wakati Mungu hakuumba dini unafikiri zinajitosheleza kichwani?
11. Afrika tupo chini kiutendaji,kiimani,kifikra na kiteknolojia na wakati mali zote ziko Afrika na teknolojia zote zilianzia Afrika.
12. Afrika imejaa Wachawi lakini wajinga tu. Kazi kutesa na kuua watu tu! Hivi kwanza unaelewa maana uchawi? Wagiriki wanakwambia uchawi ni kujua na kutenda kuliko pitiliza ndo maana ukaitwa witchcraft. Wit ni neno la Kijerumani yaani wise! Kwa kingereza cha kale neno uchawi uliitwa “wicca” yaani "craft of the wise.” Sidhadi hata kama ulijua wizard limetokana na wise. Sasa Wachawi wa Afrika wanatumia uwezo huo uliopitiliza kudhalilishana na kuumizana. Fikiria mtu anaingia ndani ya nyumba usiku wa manane, imefungwa vizuri kabisa, anambeba mwalimu hadi chooni, mnaamka asubuhi mnakuta mwalimu amelala chooni,unadhani hiyo ni knowledge ya kitoto?
13. Wagiriki walijifunza uchawi Misri wakaondoka nao hadi kwao wakaupa jina zuri, Sayansi. Lakini kanuni za utendaji ni zilezile! Wachawi wetu wanatumia uwezo huo katika kuua na kuharibu badala ya kutumia uchawi huo kuwashughulikia wezi wa rasilimali za Afrika.
14. Afrika ukitaka huduma nzuri lazima uinunue hata kama unalipa kodi. Wakati Wazungu wameamua maisha yao yawe mazuri kwa sababau ya kodi.
Cheers
Mwl. Denis Mpagaze
Muhenga wa Karne ya 21!
Ok, ngoja nikuulize wewe swali la uzushi. Hivi wewe hapo ulipo una imani na Mtanzania katika ufanisi wowote ule?Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa dilidili za hapa na pale za kimjinimjini yaani almradi bora liende
weengi wanaamini mweusi ni mtu wa hadaa na konakona na usipokaa sawa anaweza kukuuza hata wewe kama fungu la nyanya
weeengi wanaamini mweusi ni full janjajanja na usanii mwingi
weengi wanaamini mweusi ni wa ahadi lukuki zisizotimizika
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa maneno meeengi matamu kama asali lakini yasiyo na hata chembe ya tija
wakuu tatizo ni nini hasa mbona kuna weusi wengi tu wamenyooka hawana konakona mfano mzuri mimi mwenyewe hapa
Angalia viongozi wa ccm harafu upate majibu mwenyewe.Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa dilidili za hapa na pale za kimjinimjini yaani almradi bora liende
weengi wanaamini mweusi ni mtu wa hadaa na konakona na usipokaa sawa anaweza kukuuza hata wewe kama fungu la nyanya
weeengi wanaamini mweusi ni full janjajanja na usanii mwingi
weengi wanaamini mweusi ni wa ahadi lukuki zisizotimizika
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa maneno meeengi matamu kama asali lakini yasiyo na hata chembe ya tija
wakuu tatizo ni nini hasa mbona kuna weusi wengi tu wamenyooka hawana konakona mfano mzuri mimi mwenyewe hapa
Mbona akina Jocate na kina Wema hawakula Ugali?Huku kuna maswali mengi kuliko majibu. Isije ikawa ni huu ugali tunakula unaharibu ubongo jamani.
Nimetazama taarifa ya habari kule Hait. Yaani ni America kabisaa ila nimeona jiko la mkaa kama haya ya huku yaani na yale matobo matobo ya udongo. Anyway, hoja yangu siyo hilo jiko la mkaa lilitengenezwa kwa udongo. Hoja ni kuwa mbona mtuweusi hata ukimpeleka America anazidiwa maendeleo na mweupe? Si Haiti wala Jamaica shida tupu!
Ni kweli yaani sisi duniani tumekuwa tu wasindikizaji......hadi jembe la Mkono tunaagiza China kweli?Sisi ndo kenge kwenye ule msafara wa mamba na inaelekea plan ya Mungu kumuumba binadamu hakumanisha kumuumba mtu mweusi sisi tuliibukia njiani its like vile unalima mpunga alafu kuna magugu yanafanana na mpunga yakaota na mpunga ambayo ndo sisi.
Mambo wanayofanya watu weusi yanatia mashaka Sana .
Acha uongo.....hiyo nguvu ya asili iko wapi kabla ya Mzungu ilifanya nini?Moja ya siri ni kuwa huwezi kujustify jambo kwa matendo ya watu wengine...jione wewe upoje ndani yako...je wewe ni mtu wa ovyo ovyo tu.
Dini hizi, media na elimu hazikuletwa Afrika ziwe na faida Kwa mtu mweusi...zililetwa kumtenganisha na nguvu yake ya asili.
Bado historia na elimu yetu ni ya wale waliotutawala...Bado dini zetu ni za wale waliotutawala...je unafikiri mawazo yetu yatakuwa ni ya nani?
Acha uongo Hapo Kenya na Uganda ndio kuna watu weusi wa hovyo sana hata kama wanajiona wana maana ukweli ni ule ule.Huu ujinga wa kusema watu weusi wapo hivi au vile upo sana Tanzania...ila ukitembea utajua sisi weusi kuwa ni watu special sana hapa duniani...weusi wanaojitambua kwa sana katika Afrika ni Wanigeria wakifuatiwa na Wasouth...East Africa ni wakenya...ila watanzania wengi wana self hate sana...wachache wanaojitambua...
Nilikutana na article ktk pita pita zangu zilikuwa zinatoa Data moja matata sana...na ukiwa mwadilifu utakubaliana na hiki.George W. F Hegel aliwahi kusema Mwafrika halisi hana akili, hana maendeleo, hana utamaduni, hana dini pia hana maadili na adabu. Mwafrika kwa asili ni mdhalimu na mkatili.🙈🙈🙈
Pia akasema ni Shithole countries wafuasi wa jiwe wakampenda sana😂😂😂Donald Trump anasema nchi nyingi za kiafrika zilitakiwa ziendelee kutawaliwa kwa miaka 100 kwa sababu hawajui lolote kuhusu utawala bora.
Acha uongo Hapo Kenya na Uganda ndio kuna watu weusi wa hovyo sana hata kama wanajiona wana maana ukweli ni ule ule.
Ukitazama Congo utadhani ni nyani zile😂😂😂
Juhudi za vijana wa Kiafrika kuanzia usanii, teknolojia, ubunifu haziungwi mkono, ila za wazungu zinaungwa mkono hatari. Huwa nashangaa Mwafrika mwenzangu anachukia nikitangaza kitabu changu kwenye kundi lake la Whatsapp lakini likipita tangazo la movie za kizungu na kichina na kifilipino hasemi. Hapa tukiambiwa sisi ni watu wa hovyo tutakataa?
Well said Hayaland......Wakorea wamejinyima kwa kupunguza Matumizi Weusi tumekusanyika Lundo nzima tutumie pesa za kukopa kwao.MTU akikosa upendo huwa anabadilika anakuwa kama mnyama wa kawaida tu.
Ukitaka uanze kuishi kwa raha hapa duniani Jitahidi uwe MTU wa UPENDO.
Mzungu ni bahili
Mwafrika ni mbinafsi.
Ubahili unajinyima wewe ili ufikie malengo.
Ubinafsi unatumia sana wewe ili kuwakomoa wengine na mwisho unakuwa mtu ambaye hauna impact
Jamii zinazotanguliza UPENDO huwa hazifeli kamwe.
Ingawa jamaa katutukana😂😂😂Tracy Zille anasema isingekuwa Wazungu midomo yetu ingekuwa inanuka kama panya aliyeoza kwa sababu hadi leo tumeshindwa hata kutengeneza dawa ya meno.
Wao wanazalisha dawa za meno sisi tunazalisha Manabii Matajiri, Wachungaji na Maaskofu, wao wanazalisha dawa za meno sisi tunazalisha mafuta ya upako na maombi!
Mwafrika angekuwa yeye ndiye alipewa uwezo wa Kutengeneza Magari na Wazungu wanunue Mitumba kwake Dunia ingenyooka.😂😂Gari linauzwa milioni mbili Japan, likiletwa Afrika linauzwa million 12! Yaani mtoza ushuru anakula nyingi kuliko mwenye mali, na anayeliwa na ndugu yake mtoza ushuru. Yaani Mwafrika anamla Mwafrika mwenzake. Sasa katika suala kama hili unaachaje kuwa na wasiwasi na akili ya mtu mweusi Afrika?
Wewe hapo ulipo unamuamini Mtanzania yupi, usikute hata wazazi wako huwaamini.Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa dilidili za hapa na pale za kimjinimjini yaani almradi bora liende
weengi wanaamini mweusi ni mtu wa hadaa na konakona na usipokaa sawa anaweza kukuuza hata wewe kama fungu la nyanya
weeengi wanaamini mweusi ni full janjajanja na usanii mwingi
weengi wanaamini mweusi ni wa ahadi lukuki zisizotimizika
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa maneno meeengi matamu kama asali lakini yasiyo na hata chembe ya tija
wakuu tatizo ni nini hasa mbona kuna weusi wengi tu wamenyooka hawana konakona mfano mzuri mimi mwenyewe hapa