DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Well said Hayaland......Wakorea wamejinyima kwa kupunguza Matumizi Weusi tumekusanyika Lundo nzima tutumie pesa za kukopa kwao.
Pia tupo nyuma katika mambo ya kiroho au universes
Ukiwa mtu unayeomba omba na wewe hautoi basi mtiririko wa kupata PESA unaanza kuwa mgumu .
Hao watu weupe wanajua Sana spiritual things
If you know nothing in spiritually you hustle in vain