Kwanini wengi wanaamini mtu mweusi ni mbabaishaji na asiye na uwezo? Tatizo nini wakuu?

Viongozi wetu wenyewe ni kielelezo cha mtu mweusi.
Kionhozi anatembelea gari ya milioni mia sita halafu wato wa shule hawana madawati.
 
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Watu weusi wavivu sana ukiniondoa Mimi wanapenda njia fupi fupi hawapendi kutembea njia ndefu, kuna mjinga nafanya nae project ya watasha fulani huko mbele alieniunga ni yeye ila Jamaa anapenda shortcut balaa janja Janja nyingi anafikiri wazungu ni wazunguke wajinga Ila wanamchora tu huyu anatuonaje anaambiwa hii project ili iende fanya hivi Jamaa hataki anataka kufunikafunika tu abolonge project ya watu
 
Ukweli mchungu usiopendwa na Watu weusi wengi zaidi.
 
Ok, ngoja nikuulize wewe swali la uzushi. Hivi wewe hapo ulipo una imani na Mtanzania katika ufanisi wowote ule?
 
Yaani humu nimeona comments za Makaburu mtupu ,
kweli JF imejaa Wazungu maana watu weusi kama kina Maghayo wamekandwa humu ndani mpaka wanatamani wajipake karoraiti wawe Wazungu maana Sio kwa spana hizi wanazokula shithole Humanoid!
😁😁
 
Huku kuna maswali mengi kuliko majibu. Isije ikawa ni huu ugali tunakula unaharibu ubongo jamani.
Nimetazama taarifa ya habari kule Hait. Yaani ni America kabisaa ila nimeona jiko la mkaa kama haya ya huku yaani na yale matobo matobo ya udongo. Anyway, hoja yangu siyo hilo jiko la mkaa lilitengenezwa kwa udongo. Hoja ni kuwa mbona mtuweusi hata ukimpeleka America anazidiwa maendeleo na mweupe? Si Haiti wala Jamaica shida tupu!
 
Angalia viongozi wa ccm harafu upate majibu mwenyewe.
 
Mbona akina Jocate na kina Wema hawakula Ugali?

Ugali unasingiziwa au ni moja ya sababu ktk nyingi.
 
Sisi ndo kenge kwenye ule msafara wa mamba na inaelekea plan ya Mungu kumuumba binadamu hakumanisha kumuumba mtu mweusi sisi tuliibukia njiani its like vile unalima mpunga alafu kuna magugu yanafanana na mpunga yakaota na mpunga ambayo ndo sisi.
Ni kweli yaani sisi duniani tumekuwa tu wasindikizaji......hadi jembe la Mkono tunaagiza China kweli?
 
Acha uongo.....hiyo nguvu ya asili iko wapi kabla ya Mzungu ilifanya nini?
 
Acha uongo Hapo Kenya na Uganda ndio kuna watu weusi wa hovyo sana hata kama wanajiona wana maana ukweli ni ule ule.

Ukitazama Congo utadhani ni nyani zileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
George W. F Hegel aliwahi kusema Mwafrika halisi hana akili, hana maendeleo, hana utamaduni, hana dini pia hana maadili na adabu. Mwafrika kwa asili ni mdhalimu na mkatili.πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
Nilikutana na article ktk pita pita zangu zilikuwa zinatoa Data moja matata sana...na ukiwa mwadilifu utakubaliana na hiki.

Mwafrika ni mtu mkatili asiyejua kuchukua tahadhali.

Mtu anayeua wenzake sababu ya madaraka akaua hadi ndugu zake sababu ya pesa
 
Donald Trump anasema nchi nyingi za kiafrika zilitakiwa ziendelee kutawaliwa kwa miaka 100 kwa sababu hawajui lolote kuhusu utawala bora.
Pia akasema ni Shithole countries wafuasi wa jiwe wakampenda sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha uongo Hapo Kenya na Uganda ndio kuna watu weusi wa hovyo sana hata kama wanajiona wana maana ukweli ni ule ule.

Ukitazama Congo utadhani ni nyani zileπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

MTU akikosa upendo huwa anabadilika anakuwa kama mnyama wa kawaida tu.

Ukitaka uanze kuishi kwa raha hapa duniani Jitahidi uwe MTU wa UPENDO.

Mzungu ni bahili
Mwafrika ni mbinafsi.

Ubahili unajinyima wewe ili ufikie malengo.

Ubinafsi unatumia sana wewe ili kuwakomoa wengine na mwisho unakuwa mtu ambaye hauna impact

Jamii zinazotanguliza UPENDO huwa hazifeli kamwe.
 
Kaka wafrika tuambiane Ukweli tu hatuna akili na tuna roho mbaya.

Mshikaji wa Kazini kaoa mtu kaposti Picha za Harusi yake lakini watu hata kucomment wamekaa kimya.....hata kumpongeza tu akajisikia raha. Ni kama wamechukia sana.

Ofsi inayomlipa mtu mshahara inafanya Outreach na promotion activites kwenye mitandao ya kijamii mathalani Face book. youtube na insta Wafanya kazi hawatembelei wala kushare kazi za ofisi zao ila wako Bize na nyimbo za Mikund* za Zuchu na Kondeboyi ambao kwenye maisha yao hawana faida yoyote.
 
Well said Hayaland......Wakorea wamejinyima kwa kupunguza Matumizi Weusi tumekusanyika Lundo nzima tutumie pesa za kukopa kwao.
 
Ingawa jamaa katutukanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwafrika angekuwa yeye ndiye alipewa uwezo wa Kutengeneza Magari na Wazungu wanunue Mitumba kwake Dunia ingenyooka.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe hapo ulipo unamuamini Mtanzania yupi, usikute hata wazazi wako huwaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…