DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Well said Hayaland......Wakorea wamejinyima kwa kupunguza Matumizi Weusi tumekusanyika Lundo nzima tutumie pesa za kukopa kwao.
Sisi ndo kenge kwenye ule msafara wa mamba na inaelekea plan ya Mungu kumuumba binadamu hakumanisha kumuumba mtu mweusi sisi tuliibukia njiani its like vile unalima mpunga alafu kuna magugu yanafanana na mpunga yakaota na mpunga ambayo ndo sisi.
exposure.Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa dilidili za hapa na pale za kimjinimjini yaani almradi bora liende
weengi wanaamini mweusi ni mtu wa hadaa na konakona na usipokaa sawa anaweza kukuuza hata wewe kama fungu la nyanya
weeengi wanaamini mweusi ni full janjajanja na usanii mwingi
weengi wanaamini mweusi ni wa ahadi lukuki zisizotimizika
weengi humu wanaamini mweusi ni mtu wa maneno meeengi matamu kama asali lakini yasiyo na hata chembe ya tija
wakuu tatizo ni nini hasa mbona kuna weusi wengi tu wamenyooka hawana konakona mfano mzuri mimi mwenyewe hapa
Hao wanaijeria si ndo wanajulikana kwa utaperi dunia nzima.Huu ujinga wa kusema watu weusi wapo hivi au vile upo sana Tanzania...ila ukitembea utajua sisi weusi kuwa ni watu special sana hapa duniani...weusi wanaojitambua kwa sana katika Afrika ni Wanigeria wakifuatiwa na Wasouth...East Africa ni wakenya...ila watanzania wengi wana self hate sana...wachache wanaojitambua...
Hao unaowasema inaonekana ndo wamekula ugali kushinda wewe ni basi tu baba zao ugali walilia ktk chama tawala. Sijajua umewapima ktk inshu gani lakini hakuna kipimo Cha kuwafanya hao wawe wasafi.Mbona akina Jocate na kina Wema hawakula Ugali?
Ugali unasingiziwa au ni moja ya sababu ktk nyingi.
Hahaa......mkuu mmoja amekulia Los Angeles Mwingine MalaysiaJo
Hao unaowasema inaonekana ndo wamekula ugali kushinda wewe ni basi tu baba zao ugali walilia ktk chama tawala. Sijajua umewapima ktk inshu gani lakini hakuna kipimo Cha kuwafanya hao wawe wasafi.
Baafa ya Mwarabu alifata Mweusi.....Mwarabu atleastKuna jamaa alisema mtu mweusi ni binadamu toleo la mwisho,yaani makapi ya binadamu...
Huyu Jocate si kasoma Loyola hapo Mabibo na chuo akaenda UDSM ama Jocate yupi. Huyo mwingine hajasoma Soma soma sana yeye alikuwa ktk urembo urembo na at 19 akawa miss Tz huko walikaa kipindi kidogo basi kwa maana hiyo. Unless, nihabarishweHahaa......mkuu mmoja amekulia Los Angeles Mwingine Malaysia
Lakini mbona na wao hawana upeo kama wa wazungu. The have not established themselves despite being in the politics and entrainment for two decades ni shithole tu hao hamna kitu.Mbona akina Jocate na kina Wema hawakula Ugali?
Ugali unasingiziwa au ni moja ya sababu ktk nyingi.
Imeangaliwa kimtazamo hadi tu, vipi watu kama Ben Carson, Lloyd Austin, Condoreza Rice, Obama...We unaamini nini labda tuanze na wewe?
Kifupi Weusi na wehu vimekaribiana sana we angalia hata hao weusi waliozaliwa Marekani.
Mfano Balloteli, R.kelly, Lily wyne, Birdman, Snoop, BIG, 2pac, Pdidy, Tyson, Myweather na wengine wa kufanana nao.
Hata aishi Newyork as long as blackmanLakini mbona na wao hawana upeo kama wa wazungu. The have not established themselves despite being in the politics and entrainment for two decades ni shithole tu hao hamna kitu.
Mmoja katika maelfu tunasema sawa na HAMNAImeangaliwa kimtazamo hadi tu, vipi watu kama Ben Carson, Lloyd Austin, Condoreza Rice, Obama...
Sio asili ni mfumo tunayoishi ndio inatufanya tuonekane hivi..Me nadhani ndo asili yetu, ni kama tumerogwa vile..
Hutuwezi mfumo tunaoishi unatuburuza umasikini umetawala africa ni ngumu sana mtu maskini kuwa mkweli.I wish watu weusi tupunguze tabia ya uongo, na tulee watoto katika maadili ya kusema ukweli, kwangu mimi bongo ni mzizi wa dhambi/makosa mengi kama si yote.
Kujitambua kunaanza kuishi kwenye uhalisia, uhalisia = Ukweli.