Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

Ukinahatika kuwaona uwaulize bila kukosa. Au uripoti pahala husika
 
Acha ujuaji hawajaacha kazi,usalama wapo walimu, manesi,madaktar,madereva kila sekta wapo na huyo mkulima bado ni mtu wa usalama.

Kingine ww ni muongo umeamua kujiandikia tu et unamjua na blah blah ili kutetea hoja yako
Okey.

#YNWA
 
"tulitegemea dogo aibebe crown yake aluke nayo kichura wiki nzima,mbaya zaid ilikua na brigade office."

👆😃
 
Sio kweli yule tapeli wa kawaida arusha angekuwa ninkwenye mission sawa.ila yy alikuwa anazurura kutishi wahindi wampe hela mm alijaribu nkampigia jamaa yuko ikulu akiwa sio maarufu kipindi hicho alikimbia
Wengi huwa wamekuwa wakijihusisha na uhalifu mkubwa na mbaya kama vile ugaidi au mauaji, Je, wewe unashangaa kumuona huyo akijihusisha na utapeli?? Inavyoonekana wengi hapa mnaojadili suala hili hamjawa na taarifa za kutosha au ufahamu wa kutosha kuhusu hawa watu. Mnajadili kwa ku-base kwenye hisia tu na uzushi wa mtaani, lakini siyo uhalisia wa mambo jinsi yalivyo.
 
We vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....

MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
Nimejikuta nacheka kwa nguvu,wakati nilikuwa nasoma comments kimnyato😄😄😄😄
 
Tiss wanalinda usalama wa nchi ipi?
Hata jina lao lenyewe lina tafsiri yenye utata. Neno "Taifa" linatoa tafsiri kubwa zaidi ya "Utawala au Watawala" lakini siyo "Wananchi."
Ndio maana hata nchi zingine wanaziita taasisi za namna hii kuwa ni " Idara, Taasisi au Mamlaka ya Usalama wa Umma" badala ya jina la Idara ya Usalama wa Taifa li kuondoa utata huo uliopo kwenye tafsiri.
 
wajua,kuna mwaka alikufa mwandishi wa habari wa kike polisi wakadai maiti yao,watu wakapiga kelele sana ikauwaje polisi anakuwa mwandishi je analipwa mishahara miwili ?

Ninakikumbuka hiki kisa. Hivi alikuwa mwandishi wa chombo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…