Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hana utajiri wa kuachia mpaka kizazi chake Cha tatu wanakula.hujawahi kukutana nao wakilewa wewe....🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana utajiri wa kuachia mpaka kizazi chake Cha tatu wanakula.hujawahi kukutana nao wakilewa wewe....🤣🤣🤣🤣🤣
TZ, TISS siyo jeshiLabda ni kwa Tz, lakini kwenye baadhi ya nchi zingine Idara za usalama wa umma/nchi ni Majeshi kamili kabisa ktk nchi yenye mafunzo kamili sawa na majeshi mengine ya ulinzi. Wengine idara hizo wanaziita "Jeshi la Upelelezi na Hujuma."
But I think it must be a Paramilitary organization.TZ, TISS siyo jeshi
Okey.Acha ujuaji hawajaacha kazi,usalama wapo walimu, manesi,madaktar,madereva kila sekta wapo na huyo mkulima bado ni mtu wa usalama.
Kingine ww ni muongo umeamua kujiandikia tu et unamjua na blah blah ili kutetea hoja yako
Kwani we ni WA level gani, na unalipwa ngapi?Wote wanapewa flat rate mkuu?
Punguza mdomo mkuu,hata kama kweli umemla huyo wa syteam yaoPoa.
#YNWA
We jamaa ni fal(a) kwahiyo unanitega ili ukusanye taarifa?Chuo chao ni kimoja tu Bagamoyo mkuu?
Sawa.Punguza mdomo mkuu,hata kama kweli umemla huyo wa syteam yao
"tulitegemea dogo aibebe crown yake aluke nayo kichura wiki nzima,mbaya zaid ilikua na brigade office."Japo kauzi kanafatiliwa vizuri na wazee
Kunasiku tulikua tunazurula na Toyo mtaani,tukakutana na wajeda walikua na ruti zao za kikaz wapo na misafara ya iveco,gari zote zilitakiwa zipaki pembeni,ilikua raundi abauti Moja ivi kunagari ikajichanganya haikufata mashart ya masoja,masoja wakastopisha safari zao wakashuka ma MP wamechafukwa balaa wakaifata Ile gari na AK-47,kunanini sijui kilioneshwa ndani ya sekunde 5 ma MP waliludi wanalalamika" MAMBO GANI AYA"
Tuliokua tumegandishwa kwenye msafara tulicheka sana,yaani ma MP wamesanda kwa dogo janja wa miaka 25,tulitegemea dogo aibebe crown yake aluke nayo kichura wiki nzima,mbaya zaid ilikua na brigade office.
Tulijiuliza sana uyu dogo ni nani wajeda wamkatae,maana dogo hakuongea chochote alitoka kwenye gari sekunde 2 akalud kwenye gari akapotea,dogo mwenyewe ni bishoo tu,kala kiduku kikali ila wajeda walisanda
Tuliokua pale tukajua dogo ni usalama,sio rahisi wapenda sifa wakuache kirahisi
Mtoa mada unapo wa underrate ao wajomba wakati wajeda wenyewe wanawagwaya nakushangaa sana
Wengi huwa wamekuwa wakijihusisha na uhalifu mkubwa na mbaya kama vile ugaidi au mauaji, Je, wewe unashangaa kumuona huyo akijihusisha na utapeli?? Inavyoonekana wengi hapa mnaojadili suala hili hamjawa na taarifa za kutosha au ufahamu wa kutosha kuhusu hawa watu. Mnajadili kwa ku-base kwenye hisia tu na uzushi wa mtaani, lakini siyo uhalisia wa mambo jinsi yalivyo.Sio kweli yule tapeli wa kawaida arusha angekuwa ninkwenye mission sawa.ila yy alikuwa anazurura kutishi wahindi wampe hela mm alijaribu nkampigia jamaa yuko ikulu akiwa sio maarufu kipindi hicho alikimbia
Tiss wanalinda usalama wa nchi ipi?Dah Kwa hiyo unafananisha wanaolinda usalama wa nchi na wale ambao wanakamata 'machinga' na kuvunja mabango machafu
Boss upo kitengo gani mkuu?Taarifa zisizo na tija ni kama zipi mkuu
Na kauliza mengi.Provoking question.! Bila shaka ni mmoja wao.
Nimejikuta nacheka kwa nguvu,wakati nilikuwa nasoma comments kimnyato😄😄😄😄We vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....
MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
Hata jina lao lenyewe lina tafsiri yenye utata. Neno "Taifa" linatoa tafsiri kubwa zaidi ya "Utawala au Watawala" lakini siyo "Wananchi."Tiss wanalinda usalama wa nchi ipi?
wajua,kuna mwaka alikufa mwandishi wa habari wa kike polisi wakadai maiti yao,watu wakapiga kelele sana ikauwaje polisi anakuwa mwandishi je analipwa mishahara miwili ?watu lazima wafahamu kwamba kuna usalama ambao ni wakawaida na wale ambao ni undercover.
Hiko kitengo cha undercover kipo majeshi mengi.
Ukienda jeshini unawakutwa intelligence officers hao ni usalama wa jeshi,yaani undercover hauwezi kuwajua hawavai uniform hao ni wakusanyaji taarifa tu.
hata ukija kwa watu wa usalama wenyewe wanacho kitengo cha undercover ambacho usalama hao huwezi kuwajua kamwe wanakuwa watu wa kusaka taarifa,ndio utakuta wauza mkaa,mama ntilie,n.k
Hawa usalama tunaowaona wakiwa kwenye misafara nyuma ya raisi hawa sio wale undercover ni wale wa kawaida tu.
hata ukienda polisi hizo vitengo vipo vya intelinsia,hao ni undercover huwezi wajua,kuna mwaka alikufa mwandishi wa habari wa kike polisi wakadai maiti yao,watu wakapiga kelele sana ikauwaje polisi anakuwa mwandishi je analipwa mishahara miwili ? Habari ndo hiyo.
unaweza kushangaa hawa viongozi wa kisiasa wengine ni undercover wa jeshi fulani au idara fulani.