Hii ni tabia au niseme utamaduni uliojijenga tangu zamani wakati wa mkoloni wakati kuna vibaraka wa kupeleka habari kwa watawala. Walipoingia waafrika watawala nao wakaendelea kutumia hii njia ili kuwafanya wananchi wawaogope. Hili likafanya matapeli kuiga. Kwa kifupi hii ZAIDI ni kwa Afrika kwa sababu hawa wapelelezi hutumika.haujanielewa mkuu, rudi kasome uzi. Mimi sijasema TISS ni magenius infact nimesema kinyume yani ni wakawaida wamejawa tu majigambo na wananzania washamba huwatukuza, kasome tena
Mkuu kwema...Tunawakuza wenyewe
Ova
[emoji28][emoji28]We vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....
MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
Mtaani tunatishana sana na hzo kaundasut😁We vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....
MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
Hahaha Mkuu ndo taswira yenyewe...
😅We vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....
MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
ZAMANIPeace upon ya'all,
Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko
Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.
Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.
Kama reporting TISS officer analipwa 1,850,000 (1.8M) mbona ni kamshahara kadogo kuliko hata lecturer wa chuo cha umma achilia mbali daktari mwandamizi au hata tu mkandarasi wa electrical installation wa mradai wa pale Stigler anaelipwa zaidi ya 3M.
Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.
Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hana upendeleo wa kupata huduma bure.
Peace upon ya'all,

Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.
Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.
Kwa lugha rahisi Sabaya nanyule aliyemtolea Nape bastola ni usalama ni vichwa pa
......Tatizo Kubwa Mmejengwa Vichwani Kwenu T-I-S-S Ni Watu GENIUS Na Akili Kubwa Sana......
Sijawaiona mwenye akili nchi hii.Nchi hii Sasa hivi imekufa kila Kona.
Wenye akili hawaheshimiwi.
Machawa ndio wanafanya maamuzi chini mpaka juu
Wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Hiyo hadhara ndo nchi yenyeweHivi kujadili issue zenye maslahi ya nchi hadharani kuna faida gani
Wabongo kwa vitisho mpo vizuri sana. Unampangia hadi mtu cha kuwaza?Usithubutu kudhani hivyo wala isitokee hata mara moja ukawaza hivyo ndugu yangu
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mtu akishalelewa kwa babu na Bibi anafundishwa kila kitu ni siri.Hiyo hadhara ndo nchi yenyewe