Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Kuacha Kazi TISS inawezekana.Endapo kama wangewafahamu vizuri hao tiss pamoja na "mambo yao yanayowahusu," watu wanaojifanya kuwa ni wafanyakazi wa huko wala wasingethubutu hata kujiita kusa wao ni tiss.Hawajui tu watu hao. Wenyewe halisi waliopo huko wengi wao hawana furaha wala amani mioyoni mwao, wanatamani sana kutoka huko lakini wanashindwa kwa sababu tayari "wameshafunga 'ndoa ya kikristo' na shetani, ni kifo pekee ndicho kitakachowatenganisha." Ukweli ni kwamba wengi wao wanatamani sana kuvunja ndoa hiyo mbaya na shetani ili wawe huru, lakini imeshindikana.
Ni kama kuacha Kazi kwa nyengine yoyote.
#YNWA