Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

Kitu kinachoniuma ni recruitment style yao..

1- siijui exactly..
2- Naona mapungufu mengi ktk hiyo procedure..

Uzuri hii Nchi hatuna vita zaidi ya vita ya kiuchumi na ki maadili. (AMBAZO NI VITA NGUMU MNO)
Recruiting
1. Ninao wajua wengi wamepata ajira kupitia Vyuo vya UTUMISHI WA UMMA, TISS walienda wanafunzi wakatangaziwa wakajaza fomu WAKATOBOA na mambo ya usiwe na tatu, kovu na .........

2. Kuna mmoja namjua ila nadhani huyu jamaa kapatia Kazi through connection kwasababu, baba ake anajuana na mtu mkubwa sanaa wa haya majeshi ya nchi.
Nadhani ni kupitia hii connection.

Huyu jamaa wa pili tulikuwa marafiki sanaa ila tokea atoke Bagamoyo amekuwa chawa mpumbavu.
Ukaribu wetu umepungua sanaaaa.

#YNWA
 
Itakuwa ulifanyiwa kitu mbaya sana & if that's so pole sana, how come uiongelee hovyo na kui disvalue kwa majina ya ajabu.
Umeeelewa point yangu .....
Nakataa juu ya
1. Watu huwaona wanapesa sanaa wakati mshahara ni mil 1.85

2. Watu huwaona Wana akili sanaa wakati ni wakawaida sanaaa

3. Watu huwaona sijui wapo kama nini sijui wanajua wenyewe wanavyowa define.

4. Halafu huku makazini wakijaga ndio huwaona wako serious.

Kifupi na nachomaanisha JAMII IMEWAKUZA SANAA NA KUWAFANYA WAKUBWAAA KUMBE WA KAWAIDA TU NA TUNAISHI NAO NA NI MAPOPO KAMA TULIVYO SISI.

Ila wanavyo maximiziwa HAPO NDIO NAGOMAA KABISAAAA.

Sasa ukisema wanavyokuwa exaggerated/wanakuzwa hilo sio tatizo lao, ni la hao wajinga wanaowachukulia hivyo kiasi kwamba naona kwenye list zako of points ni kama unawakandia which is wrong.
 
Ni mapopo kama walivyo mapopo wengine huku mtaani
1. Makazini tunakutana nao sometimes we collide
2. Kwenye mabar wapo na vitisho vyao '"UNANIJUA Mimi nani?""
3. Mtaani tunaishi nao na maisha yao kama yetu tu, na mademu tunagombea.

Hebu some point za hapo juu kwa wadau walivyowakuza.

Hulka ya mtu mmoja mmoja unai generalize vipi kwa kundi zima, huoni kama hii ni bias ama outlier.
 
Peace upon ya'all,

Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko

Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.

Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.

Kama reporting TISS officer analipwa 1,850,000 (1.8M) mbona ni kamshahara kadogo kuliko hata lecturer wa chuo cha umma achilia mbali daktari mwandamizi au hata tu mkandarasi wa electrical installation wa mradai wa pale Stigler anaelipwa zaidi ya 3M.

Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.

Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hakuna upendeleo wa kupata huduma bure hata sio invoice hapana anatakiwa kulipa labda vingvyo iwe argency ya serikali.
Hiyo ni ww unavyowachukulia japo tiss sio mgambo ila nje ya kazi yake ni mtu wa kawaida....... Hebu tafuta hela ili hao tiss wasikuumize kichwa
 
Dogo ajui Hilo Dubwana lilivyo pana

Unaweza fungwa, ukateswa ila kwa malengo fulan na Bado ukaendelea kuwa mtiifu idarani

Dubwana Hilo upana wake hata Viongozi wa juu wengi awajui shape yake, rangi yake

Hata namba zile 3 za Juu wanajua 5% ya Ukweli wa Idarani labda ukute ni senior

Membe na ubobezi wake alichezewa na Intake ya 2014-16 na akasanda

GM
Huzi ndio zile stori za mtaani sasa
 
Peace upon ya'all,

Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko

Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.

Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.

Kama reporting TISS officer analipwa 1,850,000 (1.8M) mbona ni kamshahara kadogo kuliko hata lecturer wa chuo cha umma achilia mbali daktari mwandamizi au hata tu mkandarasi wa electrical installation wa mradai wa pale Stigler anaelipwa zaidi ya 3M.

Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.

Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hakuna upendeleo wa kupata huduma bure hata sio invoice hapana anatakiwa kulipa labda vingvyo iwe argency ya serikali.
Duh.! Hapo kwenye mshahara umenifumbua macho!
Nilikuwaga nasikia hawa jamaa wanalipwa pesa ndefu sambamba na posho nono kila week
Sasa kwa mshahara huo je wale wa ngazi ya chini itakuwa mshahara wao ni sawa na polisi !
Afadhali niendelee kuuza majeneza tu aisee...
 
Peace upon ya'all,

Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko

Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.

Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.

Kama reporting TISS officer analipwa 1,850,000 (1.8M) mbona ni kamshahara kadogo kuliko hata lecturer wa chuo cha umma achilia mbali daktari mwandamizi au hata tu mkandarasi wa electrical installation wa mradai wa pale Stigler anaelipwa zaidi ya 3M.

Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.

Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hakuna upendeleo wa kupata huduma bure hata sio invoice hapana anatakiwa kulipa labda vingvyo iwe argency ya serikali.
Labda niweke sawa kidogo kwenye hizo namba za mishahara. Unadhani namba za mishahara ya nchi hii zinasumbua? Wala. Zinazosumbua ni posho zao, ni kubwa mno.

Haya mambo ni upepo tu nadhani, maana zamani mtaani kila mtu anatamba kuwa yeye ni baharia, na ndiyo karejea nchini toka Italy, hata kama sio baharia.

Na hapa katikati kulikuwa na upepo wa maeneo ya kuishi, kila mtu alikuwa akitamba kuishi Upanga, hasa vijana. Hadi wanashinda maeneo ya Upanga ila kulala wanaenda Kwa Mtogole.

Ova
 
We vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....

MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
🤣🤣Mie napenda kusimama kaunta
Ila navaaga kiselah tu
Kila Leo naitwa usalama wa Taifa😂Hadi nimejichokea
 
kinacho wafanya watu wa TISS wajimwambafai ni ule ukaribu wa sekta yao na RAIS ambae ndie sponsor...hicho tu ndio hufanya watu wawape special care watu wa TISS....

ila amini nakwambia TISS wana njaa kama waajiliwa wengine...

inawezekana JWTZ wakaWa na maisha mazuri kuliko TISS...​
Oya jiheshimu basi. TISS wana njaa kwani walikuomba ugali wako?
 
Back
Top Bottom