Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣🤣Na wewe ni tisiiiwanajulikana sana tu sema ni kwasababu huna ndugu anae fanya kazi huko....! lakini sio kazi yenye usiri huo mnao dhani...! japo kuna baadhi ya mission sometime it coast someone to change the identity...ila haiondoi ukweli kuwa mke na watoto wanajua kuwa baba yao anafanya kazi gani...ðŸ¤
babu yangu tu Marehemu mzee Kitandu tulijua anafanya kazi ofisi ya Rais ila yule aliishi maisha ya uharisia ambayo huwezi kukisia kazi yake huyu mzee alinyweshwa damu ya bendera na uzarendo ukamvaa haswa nadhani ni product ya mwisho ya Nyerere ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
tulikuja kugundua kuwa alikuwa ni TISS siku ya msiba wake msiba uligharamiwa na kitengo na kitengo kilikusanya nyaraka, hardcopy na computer zote za nyumbani kwake walipita nazo wakidai kuwa zilikuwa ni mali za ofisi...🤣🤣🤣
walifanya upekuzi nyumba nzima...nilikuwa karibu sana na Babu nakumbuka kuna mwana kitengo mmoja baada ya kugundua wanacho kitafuta awajakipata kwenye zile hardcopy na computer walizo chukua akawa ananifuata pale msibani akiniuliza ki uzushi
"babu yako kuna kitu alikuwa anaandika amekiandika kwa muda mrefu niambie lilipo hilo andiko"
Au unaganga njaa mtaani?