Mpwimbe
JF-Expert Member
- Oct 13, 2023
- 455
- 818
TAKUKURU tu wanaweza kukamata yoyote.Je Askari Kanzu anaweza mpeleleza Usalama wa Taifa!?
Issue hapo ni sheria, taratibu za kazi na KUVIZIANA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAKUKURU tu wanaweza kukamata yoyote.Je Askari Kanzu anaweza mpeleleza Usalama wa Taifa!?
Kuhusu kufukuzwa hilo halina ubishi wanafukuzwa sana kwasababu ya mwenendo usiofaa. Halafu utakuta mtu anasema hawafukuzwi kazi. Hapo ametoka kusikia stori za kwenye vijiwe vya kahawa.hauwafahamu ndio maana unazungumza habari za kahawa, manaacha kazi wengi tu, kati ya uongo uliodumu miongoni mwa jamii ni hili ati TISS hawezi kuacha kazi.
Wanaacha na wengine wanafukuzwa
Kwanini umelishwa upepo kwamba hawaachi/hawaachishwi kazi?Acha ujuaji hawajaacha kazi,usalama wapo walimu, manesi,madaktar,madereva kila sekta wapo na huyo mkulima bado ni mtu wa usalama.
Kingine ww ni muongo umeamua kujiandikia tu et unamjua na blah blah ili kutetea hoja yako
Chuo chao ni kimoja tu Bagamoyo mkuu?Nakataaaaaa
Hakuna TISS ninaye mjua Mimi halafu familia yake haimjui kuwa yeye ni TISS.
Hizo za kutokujulikana kafa nazo Nyerere.
Siku hizi ile tu kapata chance kwenye Bagamoyo basi masela woteee tunajua.
#YNWA
Kweli wabongo ni matahira.We vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....
MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
Huyo mteuaji wa wakati ule alikuwa anapenda watu wakatili sampuli ya kina Sabaya.Basi na wewe katengeneze kitambulisho fake Cha TISS halafu ukikamatwa wakati kesi inaendelea utataeuliwa kuwa DC.
Nakumbuka nilinyoa kipara...nikapiga kaunda suti nyeusi....nikaenda kufuatilia NIDA nilipewa huduma za kipekee...etc etcWe vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....
MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
Traffic akikukamata kuwa mnyenyekevu then mwambie...uko wizara ya fedha au mambo ya nje...kwa sauti ya chini..On contrary, watu wa kitengo hufundishwa kutojiexpose. Hata kitambulisho hawatakiwi kuonesha au kujitambulisha. Akikamatwa na trafic police anatakiwa akubali fine na alipe na sio kutoa kitambulisho. Ukiona watu wanaojitambulisha ujue hao ni fake au ni wale wachache ambao wameingia kitengoni kwa mchongo na hawakutakiwa kuwapo huko.
Aisee kumbe [emoji3] [emoji3] [emoji3]hapana...! zile ni nguo za kumfanya mtu aonekane nadhifu tu...ila wana sare zao kama za jeshi zenyewe zinafanana na rangi ya CHUI....kaitazame ile video ya makonda alivyoenda kuvamia clouds.
Kweli mkuuacha...hizo mimi ni Dereva wa boda boda mkuu...sina uhusiano na hiyo kazi japo nilitamani sana tena sana kuitumikia nchi yetu kupitia majeshi yetu...ila sijawahi kupata bahati hiyo kwa umri wangu hivi sasa najipambania tu mwenyewe kwa kuendesha boda. Mungu akipenda nitafungua biashara zangu maisha yataendelea....
sijawahi kusajiliwa na jeshi lolote
Taarifa zisizo na tija ni kama zipi mkuuKuhusu kufukuzwa hilo halina ubishi wanafukuzwa sana kwasababu ya mwenendo usiofaa. Halafu utakuta mtu anasema hawafukuzwi kazi. Hapo ametoka kusikia stori za kwenye vijiwe vya kahawa.
Sasa kama hawa mfano wakusanya taarifa zisizo na tija ndiyo hufukuzwa kazi ama kupunguzwa karibu kila mara.
Informers ndiyo wengi na hawana kipato cha kueleweka wana njaa hatari. Watendaji waliobobea ni wachache na ndiyo wanaochakata taarifa muhimu zenye tija.
Provoking question.! Bila shaka ni mmoja wao.Chuo chao ni kimoja tu Bagamoyo mkuu?
Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.
Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.
Kwa lugha rahisi Sabaya na yule aliyemtolea Nape bastola ni usalama na ni vichwa panzi tu.
Sabaya ni TISS kweli Wala siyo kujifanya.
Tatizo kubwa mmejengwa vichwani kwenu TISS ni watu genius na akili kubwa sana na hivyo mtu Kama Sabaya hawezi kuwa na kiuhalisia ndio usalama wenu hao.
Kwa lugha rahisi Sabaya na yule aliyemtolea Nape bastola ni usalama na ni vichwa panzi tu.
Dah Kwa hiyo unafananisha wanaolinda usalama wa nchi na wale ambao wanakamata 'machinga' na kuvunja mabango machafu
yaani umesema,kuna dereva mmoja mjinga yupo dodoma,anadanganya watu kuwa yeye ni tiss,mara ana udugu na mwigulu,kumbe ni dereva tu pale hazinaPeace upon ya'all,
Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko
Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.
Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.
Kama reporting TISS officer analipwa 1,850,000 (1.8M) mbona ni kamshahara kadogo kuliko hata lecturer wa chuo cha umma achilia mbali daktari mwandamizi au hata tu mkandarasi wa electrical installation wa mradai wa pale Stigler anaelipwa zaidi ya 3M.
Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.
Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hakuna upendeleo wa kupata huduma bure hata sio invoice hapana anatakiwa kulipa labda vingvyo iwe argency ya serikali.
Yeah! wanawake wengi huishia kua Field Officers.Ke idarani ni watu wa chini kabisa
Uishia kuwa FO
HATA HQ wakuu wa Idara Ke hata awafiki 2 kati ya Idara 1...
Rafiki yangu umeona yeye kabisha ?Wabongo kwa vitisho mpo vizuri sana. Unampangia hadi mtu cha kuwaza?