Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

🤣🤣🤣Na wewe ni tisiii
Au unaganga njaa mtaani?
 
Tiss is very wide wewe, watu hadi wanalelewa na mishangazi lakini ni Tiss. Uskariri, hiyo kada ina watu wengi mbalimbali na wenye maisha mbalimbali. Tiss sio ualimu kwamba kila mtu anajua wewe ni nani. Umdhaniae sie kumbe ndiye and viceversa.
Endeleeni Kudanganya na Kudanganyika.
 
Ni kweli mkuu hata me nina ndugu ni mtu wa usalama wa taifa na ndugu wote wanajua.
 
Ni kweli kabisa
 

kuna jambo moja umelitaja hapo kwa usahihi wake nimekubali unawafahamu hawa jamaa na haujahadithiwa kama wengi humu wanawashobokea na kuwatukuza ila ni watu wa kawaida na "hawana maajabu wanayotukuzwa kwayo"

huyo jamaa anabisha ni wale waliojazwa upepo mwingiii kuhusu TIS
 
Hao awajaacha kazi bro

Huyo Mkulima ukifwatilia ruzuku anapotoa utakimbia

Kuacha kazi mazima hapo ngumu hao ubadilishiwa majukumu siku anafariki utashangaa mengi
hauwafahamu ndio maana unazungumza habari za kahawa, manaacha kazi wengi tu, kati ya uongo uliodumu miongoni mwa jamii ni hili ati TISS hawezi kuacha kazi.

Wanaacha na wengine wanafukuzwa
 
[emoji23][emoji23]watu wa JF bana na watu wataamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…