Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

Kwanini wengi wanapenda kujifanya TISS wakati kazi hii ni kada ya ulinzi kundi moja na mgambo?

Kuna comment ya mdau nimeisoma huko juu, kuhusu teeth kulinda maslahi ya ccm. Tukumbushane tu ccm ni ujamaa na ujamaa tunazungumzia urusi, china na cuba . Kwahiyo kusukwa kwa hii idara yetu , kumetegemewa syllabus na training manuals za urusi particularly by then kgb. Ndio maana ya chama dola sasa. Mostly wa maafisa kipindi hicho cha nyerere wamepatia mafunzo yao , urusi , cuba na china. Kwahiyo ukiona tiss iko merged na ccm msione ajabu .
Absolutely!
Copy & Paste from KGB, that's why we're living as if We're in the Hell!
 
Naona unatamba tu hapa ila trust me ipo siku utajaa tu kwenye mtego na ndipo utakapojua kwamba hujui kitu. Endelea tu kuropoka
Aisee mbona unamtishia mkuu, nilidhani hapa ni jf platfom where we dare to speak freelly, na je ukimtishia huoni unamsanua kukwepa hiyo "mitego" kama hata unayo ?!, unajitafutia umaarufu au nini ?!

Mwenye mitego KAMWE hasemi, nyie ndio UVCCM kutwa mnajifanya TISS.
 
Kwa nchi zingine zenye tawala za kidemokrasia hilo linawezekana lakini siyo kwenye hizi nchi zetu zenye vinasaba na Ujamaa/Ukomunisti, Watakuua wenzako. Uache kazi yao ghafla tu, si ndio watakuona wewe unawasaliti. Lazima wataku-assassinate tu. Labda ukimbie nchi uende ukajifiche mbali huko kama vile nchi ya Guatemala au Peru ili wasikuone.
Kuna ukweli fulani katika hili, ndio maana watumishi wengi wa hizi kazi huendelea kupewa vyeo mbalimbali.
 
Kitu kinachoniuma ni recruitment style yao..

1- siijui exactly..
2- Naona mapungufu mengi ktk hiyo procedure..


Uzuri hii Nchi hatuna vita zaidi ya vita ya kiuchumi na ki maadili. (AMBAZO NI VITA NGUMU MNO)
Wawaige CIA, unaomba kazi kama kazi nyingine na pia wanazo hadi volunteering na internships.
 
Peace upon ya'all,

Ebwana ni ajabu sana mtaani ukipita mtu anaesemekana ni TISS hutukuzwa na hata watu wengine wengi hujifanya TISS ili kuonekana maalumu na kutafuta maujiko

Hata hapa jf wengi hujifanya TISS ili kujipatia ujiko ajabu ni kwamba kama ilivyo nesi, daktari, mfamasia, dentist n.k wako katika kada ya afya (health sector) au walimu, wakufunzi wako kada ya elimu (education sector) au kama marubani, airhostess, astronuts n.k wako kada ya aviation ndivyo pia askari magereza, polisi, askari jeshi, mgambo na TISS wote ni kada ya ulinzi.

Kimsingi TISS ni kada ya ulinzi kundi moja, taaluma moja na mgambo wametofautiana juristiction chache ila wana mengi ya pamoja kuliko utofauti. Hata kimaslahi TISS ni wakawaida sana na wamepitwa na kada nyingi tu na hamna maajabu yoyote kwa hawa walinzi.

Kama reporting TISS officer analipwa 1,850,000 (1.8M) mbona ni kamshahara kadogo kuliko hata lecturer wa chuo cha umma achilia mbali daktari mwandamizi au hata tu mkandarasi wa electrical installation wa mradai wa pale Stigler anaelipwa zaidi ya 3M.

Ni ushamba tu wa Watanzania kuona ati walinzi hawa ni watu wa hadhi kubwaaaa, na ujinga huo ndio unawafanya watu kama Sabaya mwaka 2018 - 19 kujifanya TISS huku akisafiri bure, na kupata huduma katika mahotel makubwa bure akiwaonyesha kitambulisho tu.

Kitu ambacho hata angekua kweli ni TISS hakuna upendeleo wa kupata huduma bure hata sio invoice hapana anatakiwa kulipa labda vingvyo iwe argency ya serikali.
Ni Ushamba wa Tanzania tu Mkuu
Hiyo Taasisi imesheheni Vilaza wa Kutosha
 
TiSS wana maisha bana acheni kujifariji, nina ndugu yangu ni mtu wa usalama ana maisha mazur yamenyooka
Hata TRA wana maisha ila pesa za madili sio kwa mishahara yao halisi.
 
Kuna comment ya mdau nimeisoma huko juu, kuhusu teeth kulinda maslahi ya ccm. Tukumbushane tu ccm ni ujamaa na ujamaa tunazungumzia urusi, china na cuba . Kwahiyo kusukwa kwa hii idara yetu , kumetegemewa syllabus na training manuals za urusi particularly by then kgb. Ndio maana ya chama dola sasa. Mostly wa maafisa kipindi hicho cha nyerere wamepatia mafunzo yao , urusi , cuba na china. Kwahiyo ukiona tiss iko merged na ccm msione ajabu .

Ni hatari chombo cha usalama kuwa na political affiliations hasa kwenye nchi zinazojinasibu kuwa na mfumo wa vyama vingi. Uzalendo ni nadharia tu kwakweli. Watu wako na maslahi yao.
 
hapana...! zile ni nguo za kumfanya mtu aonekane nadhifu tu...ila wana sare zao kama za jeshi zenyewe zinafanana na rangi ya CHUI....kaitazame ile video ya makonda alivyoenda kuvamia clouds.​
Mara nyingi wanaozivaa hizo huwa ni wale walinzi wa viongozi.
 
We vaa tu sutiKaunda nyoa kipara nenda kaunta kunywa WINDOKU ukiwa umesimama kaunta...macho yako yanaangaza angaaza kila kona
Utaona Wabongo wananong'onezana wengine hata kukimbia kaunta.....

MAUJIKO ..teh teh teh....yani kutisha tu watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom