Kwanini Watalaamu Hawaongeei haya mambo Unasikia nusu ya watu Dunian Kufikia 2035 Watakuwa na Unene Mkubwa.
Tunambiwa kula matunda ya Vitamini C ila Matunda yanakiwango kikubwa cha sukari(Fructose) Hii Inahifanyiwa na Ini Na Mwisho wake ni kitambii na Kalio kubwa kwa vijana wa kiume,Kupungua Hormone Ya Testosterone na kukosa nguvu za kiume.
Shida na Watengenezaji Wa Hizo Biidhaa Dunian wao Ndio Wanaofadhili Mambo mengi kuhusu Tafiti kuhusu Maswala ya chakula,Liste Na Afya Na Kusikia Ripoti Inasema ukila chumvi nyingi,Usipokula asubuhi, Hii Yote n kufanya Waendeleze biashara zao wapate pesa, Na Pia Wauze Madawa After Time. Na Hizo Tafiti Wanazoandika Ndio Wanalishwa madaktari Huko vyuoni Na Kuja Kutushauri Tule Matunda yan Vitamini C,Usile Chumvi nyingi,Cholesterol Ni Mbaya,Kula Milo 3 Hadi 6 Kwa Siku,Breakfast is Mostly important meal,Usitembe Kwenye Jua,Kunywa Glassza Bia 3 kwa siku N Afya,Usile Nyama Nyekundu.
Ukifata Yote Hayo Mwisho Ni Nguvu za Kiume,Uzito Kupindukia,Kitambi,Kisukari,Pressure,Cancer,Vidonda Vya Tumbo, Yana Mambo Mengi Chango Ni Lishe Ya kisasa Cha kushauri na wanasayansi na Matabibu waliosoma syllabus iliyofanyiliwa na Watu wa Viwandani na Wauza madawa.Its Business As Usually.
Haijalishi Ww N Mnene au Mwembaba Siku Hizi Mpaka watoto Wana High BP,Fatty liver Diesease Na Kisukari.
Tufanya Vipi
1.Acha Kula Bidhaa za ngano(Ina calcium Sulphate Ndio Ile Kuvutika kwa Makate na Andazi Ni Sawa Na Kuweka Au Kupiga Plaster Mwili wako Unanyima Virutubisho Muhimu Kuchukuliwa na Mwili Na Pili Inakuketea Uraibu)
2.Acha Matumizi Ya Simple Carbohydrates Wali,Sembe,Tambi,Mkate,Vinjwaji vywa Viwandani soda,Bia,Energy,
Tumia Carbo Zenye Fibrè Au Starch Maharage,Viazi vitamu,Mihogo,Ndizi Za Kupikwa(Sio Mbivu),magimbi,ulezi,matamba na dona,Mboga Za Majani(Utapata Vitamin C Na Minerals Especially Cabbage,Pilipil,Spinach)
3.Acha Kula Vyakula Vya kukaanga au Kupikwa na Mafuta Ya Seed Oil Alizeti,Masewe Na mengine.
Tumia Mafuta ya Nazi,Parachichi Au Mafuta Kutoka Kwnye Nyama Watakwambia ina Cholesterol ila kwanini mwili unazalisha asilimi 80% Ya Cholesterol kama n mbaya.
Cholesterol ni muhimu kwny uzalishaji wa mbegu za kiume na kike(Mayai).
4.Kula Milo 2 Kwa Siku Ikipendeza 1 Na Kula kuanzia Saa 8 Na Kabla ya Saa 2 Usiku.
Kula Asubuhi Hakuna Faida Mwili Unazalisha Energy kila Saa 10 Alfajiri ya kukuwezesha kufanya kazi kwa siku mzima kinachotusumbua na Uraibu wa sukari na Ngano Kufanya Tule Kila Wakati.
5.Kula Nyama Yoyote Kwa Wingi,Mayai,Maziwa Mtindi.(Ya Supermarket Hayana Kitu Na Fresh from Cow Ni Mazuri Ila Yakichemshwa Yanapoteza Virutubisho Muhimu.Nazi,Madafu,Parachichi,Mapera,
6.Fanya Mazoezi At Least Kwa wiki mara 3 na isizidi Dk 40.
Kukimbia mara 1 kwa wiki maan kukimbia kuna sababisha upungufu wa Growth Hormone.Ndio Maan Wanariadhaa wa Mbio Ndefu Ni Wembamba Sio Wanene.
7.Pata Muda Mzuri Wa Kulala At Least 8 Hrs per Day.
8.Acha Uraibu Ngono,Punyeto,Vilevi Sigara, Bangi,Shisha Nk.
9.Kunywa Maji Mwngi.Ikiwezekan Weka Na Chumvi.
Chumvi Na Muhimu kwa Mwili ila Inalaumiwa kwa makosa yaliyosabbishwa na sukari.
Ukianza matumizi ya chumvi hakikisha umeacha matumiz ya sukari na Simple Carbo.Sukari Na Chakula kikubwa cha seli za kansaaa.
10.Ondoa Matumizi Ya Vidonge vya uzaz wa Mpango kwa wanawake,Viagra Kwa wanaume,Fata Mlo Sahihi Fanya Mazoezi Utapata Majibu Mazuri.
Acha Dawa Za Sukari na Sindano zake fata Mlolo sahihi sukari inatibika na Pressure.
11.Acha Matumizi Ya Dawa za Mswaki zenye Flouride Na Maji Ya Kunywa Pia Acha matumizi Ya Plastic kuhifadhi vitu vya moto.
12.Jitahidi Ufunge Ndio Usile Mwili Wetu ni wa kipee sanaa Kula kila Mara N Chanzo cha magonjwa mengi.
Funga Kwa Masaa Na Siku
Unaweza funga masaa 18/6,20/4,16/8.
Idadi kubwa ya Msaa ni Kufunga Machache ni kula.
Chakula Toka Unakula Inahitajika Msaa 48 Mpaka Ukitoe kama Kinyesi.
Ww kwanini kwa siku ule milo 3(Uraibu) au 6.
Ndo maan usipopata choo baada ya masaa 72 Tunasema unashida ya mfumo wa chakula.
Lakini Mwili una Ghala La Nguvu Za Kukuwezesh Ufanye Kazi Masaa Hata 100 Bila Kula muhimu wakati Umefunga Kunywa Maji Ni muhimu kwa figo zako,Weka na chumvi kidgo kwny maji, Kunywa Na Kahawa Ili Kupunguza Maumivu ya Njaa.
Ukizoea Unafungua nguvu zilizofichwa na Mwili wako Kwa Muda mrefu(ketosis).
Funga Kwa Siku Mimi Nipo Kwenye siku ya 2 Bila Kula Ni Maji, Au Kahawa(Isiyo na Sukari Wala maziwa) Unaepuke kupaa mwili kitu chochote chenye Nutrient ukiwa umefunga. For 2 Or 3 Days. Na Ukifungulia kula mlo mwepesi Tu maparachich,Mayai ya Kuchemsha,Ndizi Za Kupikwa Karanga nk
Sio Donar,Maharage au Nyama.