Kwanini wengine wawe na vitambi au wanene nawakati tunakulanao aina moja ya chakula?

Chakula tunachokula pia kinakuwa na athari tofauti kutokaba na utafouri wa makundi ya damu!
Blood group type inachangia
 
Fafanua kidogo mkuu..
Propwganda ni nyingi sana za kisayansi.

Lakini siri ya kutokunenepa ovyo ni kula utakapojisikia njaa,na hata ukila basi usishiiiiibe,kula kawaida fanya mambo mengine.

Fuata utaratibu huo utaenjoy na maisha.

Maana kuna watu wanafuata hiyo fomula lakini wanafuata nusu,kweli anakula akiwa na njaa lakini huo mlo wake ni matata sana yani ni sawa na milo mitatu,huyu hatofanikiwa.

Kula ukisikia njaa na pia ukila basi usishiiibeeee
 
Unajua madonda ya tumbo wewe..😂
 
Ili usinenepe unatakiwa energy inayo ingia mwilin Iwe Sawa au izidi kidogo energy unayotoa,,,Ndio linapokuja swala la kuburn calories sasa wewe unakula tena vyakula vya wanga kwenda kazini umekaa tu Kwenye gari,ofisin umekaa ukirud umechoka unakula tena wanga unalala hakuna mazoez wala nini kesho hivyo hivyo unazan hiko chakula kinaend wapi kinatunzwa mwilin kwa njia ya glycogen,mpaka ujishughulishe tena Ndio kinavyunjwa usipojishughulisha Ndio hivyo kinabaki unashangaa tu unanenepa mara kitambi hicho,,,tena ubwabwa Ndio mbaya sana kula usiku ila wabongo hawataelewa,,,,,hao wanaokula sana halafu hawanenepi most of them wapo active kuna dogo kitaa alikua anaondoka simchezo afu hanenepi but alikua anacheza mpira!
 
Propwganda ni nyingi sana za kisayansi.

Lakini siri ya kutokunenepa ovyo ni kula utakapojisikia njaa,na hata ukila basi usishiiiiibe,kula kawaida fanya mambo mengine.

Fuata utaratibu huo utaenjoy na maisha.

Maana kuna watu wanafuata hiyo fomula lakini wanafuata nusu,kweli anakula akiwa na njaa lakini huo mlo wake ni matata sana yani ni sawa na milo mitatu,huyu hatofanikiwa.

Kula ukisikia njaa na pia ukila basi usishiiibeeee

Suala si kusikia njaa tu. Bali kuelewa mahitaji ya nguvu kwa mwili wako kulingana na aina ya kazi unayofanya. Na ule nini ili ushibe bila kuweka nguvu nyingi sana dhidi ya unazohitaji.

Mengine inabaki kuwa ni genetic make up yako.
 
Hakuna chakula kibaya mzee.

Ishu sio unakula nini,ishu ni unakula vipi
 
1: Hakuna aliyesema kuna chakula kibaya.

2: kula vipi pia siyo kama unavyoifikiria wewe, haitoshi.

Ungetaka usahihi zaidi kama ni suala la kiswahili fasaha ni unakula nini na unakula vipi. Kula vipi tu haitoshi.

Pia, kumbuka kila kitu kwa uzuri wowote bado unahutaji kwa kadri.
 
Suala si kusikia njaa tu. Bali kuelewa mahitaji ya nguvu kwa mwili wako kulingana na aina ya kazi unayofanya. Na ule nini ili ushibe bila kuweka nguvu nyingi sana dhidi ya unazohitaji.

Mengine inabaki kuwa ni genetic make up yako.
Hakuna chakula kibaya mzee.

Ishu sio unakula nini,ishu ni unakula vipi
 
1: Hakuna aliyesema kuna chakula kibaya.

2: kula vipi pia siyo kama unavyoifikiria wewe, haitoshi.

Ungetaka usahihi zaidi kama ni suala la kiswahili fasaha ni unakula nini na unakula vipi. Kula vipi tu haitoshi.
Chakula chochote kinanenepesaha kama hujaangalia unakula vipi.

Hiyo ndo point yangu
 
ukiweza kula kias bila kushiba mpaka ukashindwa kuhema utakua vita umeishinda kwa 70% onbeza na vimazoez hata vya kutembea,cycling
 
Chakula chochote kinanenepesaha kama hujaangalia unakula vipi.

Hiyo ndo point yangu

1: Ni vizuri kama utakuja na scientific evidences/ushahidi wa energy contents/kiasi cha nguvu kwenye makundi ya vyakula kwa uzito tajwa wowote. Na ueleze ni kundi lipi la hatari zaidi mpaka lisilo hatari au yote yako sawa.

2: Nipe ushahidi wa binadamu aliyewahi kupata unene wa kupindukia kwa kula mboga za majani.

Usichanganye kuhusu wanyama wengine ambao ni ruminant/tumbo lenye sehemu nne na bakteria tofauti ambavyo vinawezesha kuchanganua cellulose na kuirudisha kuwa sukari kutoka kwenye majani. Ambapo sisi hatuwezi.
 
Kuna Kitu Inaitwa Tofi(Thin Outside Fatty Inside).
Hao Ni Watu 2 Tofauti Usishangae Baada ya Miaka Kadhaa Wote wakaja kupata Mgonjwa yanafanana na Kisababishi cha uzito.
Hypertension,Diabetes,Fatty liver.
Ingawa Kimuonekan Kuna 1 Anaoneka mnene Kwa Njee na Kuna Unene wa Ndani.
Mtu anakula Sanaa Ila Ila Hanenepi.Ila Mwingine ananenepa.
 
Back
Top Bottom