Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hayo maugali yako bila mboga za majani na maji kwa wingi hakitaisha saivi😎😎😎Acha vitimbi ujue,sina kitambi sijawahi kuwa nacho na sihitaji kuwa nacho.😅
Kumbe ndo milo yako hiyo.. ndo maana kitambi hakikuishi..Tafikiri wewe unakulaga vizuri wakati asubuhi tu kiporo cha ugali na mihogo..🤣
Kwenda huko..Ushanishinda tabia wewe pole sana
Propwganda ni nyingi sana za kisayansi.Fafanua kidogo mkuu..
Unajua madonda ya tumbo wewe..😂Propwganda ni nyingi sana za kisayansi.
Lakini siri ya kutokunenepa ovyo ni kula utakapojisikia njaa,na hata ukila basi usishiiiiibe,kula kawaida fanya mambo mengine.
Fuata utaratibu huo utaenjoy na maisha.
Maana kuna watu wanafuata hiyo fomula lakini wanafuata nusu,kweli anakula akiwa na njaa lakini huo mlo wake ni matata sana yani ni sawa na milo mitatu,huyu hatofanikiwa.
Kula ukisikia njaa na pia ukila basi usishiiibeeee
Madonda ya tumbo yamefanyajeUnajua madonda ya tumbo wewe..😂
Basi atibu vidonda pia.Yatampata mtu kwa njaa!
Propwganda ni nyingi sana za kisayansi.
Lakini siri ya kutokunenepa ovyo ni kula utakapojisikia njaa,na hata ukila basi usishiiiiibe,kula kawaida fanya mambo mengine.
Fuata utaratibu huo utaenjoy na maisha.
Maana kuna watu wanafuata hiyo fomula lakini wanafuata nusu,kweli anakula akiwa na njaa lakini huo mlo wake ni matata sana yani ni sawa na milo mitatu,huyu hatofanikiwa.
Kula ukisikia njaa na pia ukila basi usishiiibeeee
Hakuna chakula kibaya mzee.Suala si kusikia njaa tu. Bali kuelewa mahitaji ya nguvu kwa mwili wako kulingana na aina ya kazi unayofanya. Na ule nini ili ushibe bila kuweka nguvu nyingi sana dhidi ya unazohitaji.
Mengine inabaki kuwa ni genetic make up yako.
Hakuna chakula kibaya mzee.
Ishu sio unakula nini,ishu ni unakula vipi

Chakula chochote kinanenepesaha kama hujaangalia unakula vipi.1: Hakuna aliyesema kuna chakula kibaya.
2: kula vipi pia siyo kama unavyoifikiria wewe, haitoshi.
Ungetaka usahihi zaidi kama ni suala la kiswahili fasaha ni unakula nini na unakula vipi. Kula vipi tu haitoshi.
Chakula chochote kinanenepesaha kama hujaangalia unakula vipi.
Hiyo ndo point yangu