Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya.
Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako?
Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri awataje wote aliodai walipewa hela ili wakae kimya akiwa amebaki yeye tu.
Nashawishika pia kuamini Kweli hela chafu aliyokuwa anaongelea Lissu, ilitoka kwa Abdul kwa lengo la kuhonga viongozi mbalimbali wa CHADEMA.
Habari hii pia inathibitisha madai kuwa Abduli anatumia vibaya nafasi ya Mama yake kufanya udalali na mambo mengine anayotajwa kubusika nayo huku akiwa hana nafasi yoyote serikalini.
Jambo limezua Jambo.