Wengi wanapenda kuchukua kwa mkupuo ili kumudu gharama za maisha wanaona kuchukua ya mwezi ni kama vile haiwatoshi ndiyo maana wengi wanapenda wachukue ya miezi 6 na wengine wasivyo na aibu hata kabla ya hiyo miezi sita haijaisha wanakuja kudai ushahidi ninao nimeishi sana nyumba za kupangaNjaa kivipi mkuu? Mimi nafikiri ni ujinga wa wapangaji zaidi na serikali kushindwa ku regulate biashara ya upangaji nyumba/fremu.
Iko poa kama pesa yako huwezi kuiwekeza ikaongeza mzunguko wa biashara yako.mi naona iko poa tu maana unapata na gape la kuweka mambo yako sawa sio kila mwezi unalipia,, ila mi pesa inayo niuma ni ya dalali wanakata sana wale majamaa
kwahiyo wote wanao lipia mwezi mmoja mmoja wamewekeza?Iko poa kama pesa yako huwezi kuiwekeza ikaongeza mzunguko wa biashara yako.
Aisee hao madalali ni hatari. Yaani wanakula kodi ya mwezi mzima kama ilivyo.mi naona iko poa tu maana unapata na gape la kuweka mambo yako sawa sio kila mwezi unalipia,, ila mi pesa inayo niuma ni ya dalali wanakata sana wale majamaa
yani ni matapeli mno hata kwenye kupanga bei kwenye frem mpya wanahusika pia kuongeza vi chenchi ili wapate cha juuAisee hao madalali ni hatari. Yaani wanakula kodi ya mwezi mzima kama ilivyo.
Hapo unakuta hujajua hata biashara yenyewe itakwendaje.
Kuna sehemu niliwahi kwenda kuuliza Frem zilikuwa mpya nikichokutana nacho yule mwenye fremu kwa mwezi kodi ni laki na nusu lakini alichokifanya dalali kalipia yeye kodi ya miezi 6 halafu anaipangisha tena ila sasa kajiwekea kodi yake yaani yake kwa mwezi laki tano.yani ni matapeli mno hata kwenye kupanga bei kwenye frame mpya wanahusika pia kuongeza vi chenchi ili wapate cha juu
Kuna ambao sio waaminifu.Katika jambo la hovyo ambalo sijawahi kulielewa ni hili la wenye nyumba kudai kodi miezi mitatu mpaka sita.
Nini hasa kinachosababisha mwenye nyumba atake kodi ya miezi mitatu au sita?! Duniani kote kodi huwa inalipwa mwezi mmoja mmoja na pesa ya tahadhari ya ziada inawekwa ni mwezi mmoja.
Serikali inahitajika kuingilia kati kudhibiti huu unyonyaji wa kijinga wa watu wajinga.
Ningepata wapangaji wanaojitambua kama wa nchi wanazolipa kodi kwa mwezi, ningechukua kodi kwa mwezi maanake idadi ya units nilizonazo hata nikichujua kwa mwezi inatosha.Katika jambo la hovyo ambalo sijawahi kulielewa ni hili la wenye nyumba kudai kodi miezi mitatu mpaka sita.
Nini hasa kinachosababisha mwenye nyumba atake kodi ya miezi mitatu au sita?! Duniani kote kodi huwa inalipwa mwezi mmoja mmoja na pesa ya tahadhari ya ziada inawekwa ni mwezi mmoja.
Serikali inahitajika kuingilia kati kudhibiti huu unyonyaji wa kijinga wa watu wajinga.
Huyo nwambie aje kupanga kwangu, Kwa mwezi 250k ,anilipe kila mwezi ,mi naona iko poa tu maana unapata na gape la kuweka mambo yako sawa sio kila mwezi unalipia,, ila mi pesa inayo niuma ni ya dalali wanakata sana wale majamaa