Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Sawa sawa, unaeza kugombana na mpangaji Bure, miezi 6 imekaa vzr kwa wengiNingepata wapangaji wanaojitambua kama wa nchi wanazolipa kodi kwa mwezi, ningechukua kodi kwa mwezi maanake idadi ya units nilizonazo hata nikichujua kwa mwezi inatosha.
Lakini, kwa wabongo hawa kuchukua kodi kwa mwezi maana yake utasumbuana na mtu kila mwezi. Wacha tufanye kwa miezi sita at least.