win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
hizo pesa nje nje mbona mi sizioni? nipe connection basi mkuu,,Mjini pesa nje nje. Kuna jamaa namfahamu kajenga apartment block ina 8 apartments. Kila moja anapangisha 1m kwa mwezi. Kuna raia wa kigeni kachukua zote na yeye anazifanya Airbnb. Weka hela upate hela.
huyo jamaa yako yupo vizuri sana big up kwake